Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2005-05-24 20:21:50    
Msikilizaji wetu Bw. Xavier L Telly Wambwa

cri

     Msikilizaji wetu Bw. Xavier L Telly Wambwa ni mmoja wa wasikilizaji wa Radio China kimataifa waliochaguliwa kuwa washindi katika chemsha bongo kuhusu ujuzi wa Miaka 55 ya China mpya. Alifika Beijing, China usiku wa tarehe 16 Mei.


1  2  3  4  5