Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2005-06-07 22:03:57    
Dar es Salaam-Taarifa za ukimwi zikitolewa mara kwa mara zitapunguza maambukizi

cri

Taarifa sahihi kuhusu tathmini ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi ni muhimu katika kupunguza kasi ya maambukizi mapya endapo zitatolewa mara kwa mara kwa wananchi. Hayo yamesemwa na afisa wa serikali za mitaa wa mkoa wa Mara Bw.

Gerald Kaduga wakati akifungua mafunzo ya ufuatiliaji wa tathmini ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa viongozi mbali mbali wa halmashauri za wilaya, mji, na sekretarieti ya mkoa wa Mara.