Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2005-06-08 20:07:50    
Kinshasa-Wanamgambo wa serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wawanajisi wanawake

cri

    Umoja wa Mataifa ulisema kuwa, wanamgambo wa serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo waliwanajisi wanawake 15 na wasichana katika kijiji kimoja, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

    Maofisa wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walisema kuwa, kirendo hicho kinawahusu wanamgambo na polisi wa serikali kilitokea katika kijiji cha Sonsa, kilomita 250 kusini magharibi mwa mji wa ziwani wa Kalemie, mpakani mwa Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.