Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2006-07-12 14:33:24    
Mapishi ya boga na mizizi ya yungiyungi

cri

Mahitaji:

Boga moja, mizizi ya yungiyungi gramu 50, kiasi kidogo cha sukari,

chumvi, wanga, M.S.G.

Njia:

1. kata boga iwe vipande, osha mizizi ya yungiyungi.

2. chemsha maji, halafu tia vipande vya boga ndani ya maji mpaka iive ipakue.

3. pasha moto tia mafuta kwenye sufuria, halafu tia vipande vya boga, mizizi ya yungiyungi, tia chumvi, sukari, M.S.G, korogakoroga, halafu mimina maji dogo, baada ya kuchemka tia maji ya wanga, korogakoroga, ipakue. Mpaka hapo kitoweo hiki kiko tayari kuliwa.