
Askari wanalinda usalama wa umma na mali ya taifa bila kujali usalama wao

wakati wa hatari askari wa jeshi la China wanaziba ufa kwa miili yao

Askari polisi wanawasaidia wakazi kuondoka sehemu ya hatari

Askari wa jeshi la China wakiwa wachangamfu ingawa wamekuwa hoi



Askari wa jeshi la China wanasomba mifuko ya mchanga kuimarisha boma
|