Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2007-07-30 21:16:16    
Tamasha la kuadhimisha miaka 80 ya jeshi la ukombozi wa umma la China lafanyika hapa Beijing

cri
Tarehe 1 Agosti ni siku ya maadhimisho ya miaka 80 tangu kuundwa kwa jeshi la ukombozi wa umma la China. Tamasha la kuadhimisha siku hiyo lilifanyika tarehe 30 Julai usiku, ambapo viongozi mbalimbali wa China wakiwemo rais Hu Jintao, spika wa bunge la umma Bw. Wu Bangguo na waziri mkuu Bw. Wen Jiabao pamoja na watu elfu kadhaa kutoka sekta mbalimbali mjini Beijing walihudhuria tamasha hilo.

Tamasha hilo linaonesha hatua za maendeleo ya jeshi la ukombozi wa umma la China tangu liundwe.