Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2008-06-25 22:10:12    
Mapishi ya uji wa mchele na boga na choroko

cri

Mahitaji: Mchele gramu 100, boga moja, choroko gramu 30, tende gramu 10

Njia:

1. osha tende. Kata boga uwe vipande, osha mchele na choroko.

2. chemsha maji kwenye sufuria, halafu weka vipande vya boga kwenye sahani halafu weka sufuria, funika kifuniko na kuichemsha kwa mvuke kwa dakika 30 mpaka viwe laani.

3. chemsha maji halafu tia mchele na choroko kwenye sufuria. Baada ya kuchemka, punguza moto, endelea kuchemsha kwa dakika 15, tia vipande vya maboga, tia tende. Mpaka hapo uji huo uko tayari kuliwa.