Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2008-07-09 16:58:07    
Mapishi ya korosho na mahindi

cri

Mahitaji:

Korosho gramu 100, mahindi gramu 50, figiri gramu 80, chumvi kijiko kimoja, chembechembe za kukoleza ladha nusu ya kijiko

Njia:

1. kata figiri iwe vipande. Chemsha maji, halafu tia mahindi na figiri kwenye maji, baada ya dakika moja, vipakue. Na weka vipande vya figiri

2.tia mafuta kwenye sufuria, tia korosho, korogakoroga, tia mahindi na vipande vya figiri, tia chumvi na chembechembe za kukoleza ladha korogakoroga kwa haraka. Chemsha pamoja kasha ipakue. Mpaka hapo kitoweo hiki kiko tayari kuliwa.