Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2008-07-10 16:55:30    
Wasikilizajji 30 wa Idhaa yetu ya Kiswahili wamepata ushindi kwenye chemsha bongo--"Tukutane Beijing 2008 kwenye Michezo ya Olimpiki"

cri

Mashindano ya chemsha bongo--"Tukutane Beijing 2008 kwenye Michezo ya Olimpiki" yaliyoandaliwa na CRI mwaka huu yamemalizika na tunawashukuru wasikilizaji wetu walioshiriki kwa juhudi katika chemsha bongo hiyo. Baada ya uthibitishaji, wasikilizajji 30 wa Idhaa yetu ya Kiswahili wamepata ushindi wa nafasi mbalimbali.

Waliopata nafasi ya kwanza ni wafuatao:

Mbarouk Msabah Mbarouk ( Dubai--United Arab Emirates)

Ras Franz Manko Ngogo ( Tarime--Mara--Tanzania )

Mogire Machuki ( Kisii--Kenya )

Xavier L. Telle-Wambwa (Bungoma--Kenya )

Mutanda Ayub Shariff ( Bungoma--Kenya )

Waliopata nafasi ya pili ni wafuatao:

Gulam Haji Karim ( Lindi--Tanzania )

Damas M. Bundala ( Dar es Salaam--Tanzania )

Chacha Mabarara ( Tarime--Mara )

Dominick Alphonce Mburi ( Tarime--Mara--Tanzania )

Bramwel Sirali (Kitale--Kenya )

Edward Kavai Abuogi ( Kitale--Kenya )

Philip Ng'ang"a Kiarie ( Maragua--Kenya )

Paston Gunyanyi ( Maragoli--Kenya )

Gabriel Simiyu Wekesa ( Kimilili--Kenya )

Okongo Okeya (Iganga--Uganda )

Waliopata nafasi ya tatu ni wafatao:

Robert M. Lazaro ( Mwanza--Tanzania )

Abdi H. Magwiza ( Tanga--Tanzania )

Joseph Shija ( Shinyanga--Tanzania )

Patrick Kang'ethe ( Nairobi--Kenya )

Norman Pascal Mjomba ( Mombasa--Kenya )

Martin Wekesa Wanyama (Bungoma--Kenya )

Martin Y. Nyatundo (Kisii--Kenya )

Kepher O. Gichana ( Kisii--Kenya )

Yaaqub Saidi ( Kakamega--Kenya )

Shariffah A. Abdillahi ( Kakamega--Kenya )

Dominic Nduku Muholo ( Kakamega--Kenya )

Omari Idi ( Thika--Kenya )

Paul Mungai Mwangi ( North Kinangop--Kenya )

Ali Hamisi Kimani ( Ndori--Kenya )

Hilali Nasor Zahor Kindi (Al-Amrat--Sultanate of Oman )

Idhaa ya kiswahili 2008-07-10