Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2008-11-17 18:59:21    
China imekuwa muhimu zaidi katika uchumi wa dunia

cri

Ripoti iliyotolewa tarehe 17 na idara ya takwimu ya China inasema, katika miaka 30 tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango kwa nje, pato la jumla la China GDP imechukua nafasi ya nne dunia kwa miaka mitatu, na thamani ya jumla ya biahara ya uuzaji na uingizaji kutoka nje ya China imechukua nafasi ya tatu duniani. Uzalishaji wa bidhaa muhimu za viwanda na kilimo zote unachukua nafasi ya kwanza duniani. Hivi sasa China imekubwa muhimu zaidi katika uchumi wa dunia.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hadi kufikia mwaka 2006, uchumi wa China imetoa mchango wa asilimia 14.5 ya uchumi wa dunia, ikiwa inafuata Marekani.