Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2008-11-18 18:53:29    
Kituo cha utafiti wa misaada ya dharura na usimamizi wa kukabiliana hali ya dharura cha China chaanzishwa

cri

Kituo cha utafiti wa misaada ya dharura na usimamizi wa kukabiliana na hali ya dharura katika idara kuu ya usimamizi wa usalama wa wafanyakazi ya China hivi karibuni kimeanzishwa huko Harbin mkoani Heilongjiang.

Habari zinasema kuwa, kuanzishwa kwa kituo hicho kuna umuhimu mkubwa wa uelekezaji kwa kazi za kuzuia na kupunguza hasara za maafa nchini China.