Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
(GMT+08:00) 2008-11-18 21:17:05    
Utoaji wa nafaka wa mwaka utakuwa mkubwa zaidi katika historia ya China

cri

Ingawa China imekumbwa na maafa makubwa ya kimaumbile kwa miaka kadhaa mfululizo, lakini mwaka huu utoaji wa jumla wa nafaka wa mwaka huu utazidi tani milioni 512 ya mwaka 1998 ambao ulikuwa wa juu katika historia.

Naibu waziri mkuu wa Chian Bw. Hui Liangyu alipohudhuria mkutano uliofanyika tarehe 18 alisema, mwaka huu maendeleo makubwa yamepatikana katika kazi ya kilimo na maendeleo ya vijiji, na utoaji wa jumla wa nafaka nchini China utazidi kiwango cha juu cha historia cha mwaka 1998.