• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (18 Juni-24 Juni)

  (GMT+08:00) 2016-06-24 18:30:33

  Wapalestina wanne wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kuwaua wanandoa wa Israel

  Wapalestina wanne waliowaua wanandoa wa Israel katika mashambulizi ya sehemu ya magharibi mwa Mto Jordan mwaka jana wiki hii wamehukumiwa kifungo cha maisha na mahakama ya kijeshi ya Israel.

  Mahakama ya kijeshi ya Smaria ya ukingo wa magharibi mwa Mto Jordan pia imetoa hukumu mbili za kifungo cha maisha na miaka 30 gerezani kwa watu hao.

  Wapalestina hao walikutwa na hatia ya kupanga na kufanya mashambulizi mwaka jana kwenye sehemu ya magharibi ya Mto Jordan na kusababisha vifo vya Eitam na Naam Henkin waliofanya matembezi pamoja na watoto wao wanne.

  Pia wametajwa kuwa ni wanachama wa kundi la Hamas.


  1 2 3 4 5 6 7
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako