• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (11 Novemba-17 Novemba)

    (GMT+08:00) 2017-11-17 17:10:15
     

    Ajali ya treni yaua 30 DRC

    Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ajali ya treni ya mizigo iliua azaidi ya watu 30 siku ya Jumapili asubuhi, katika mkoa wa Lualaba kusini mwa nchi hiyo.

    Watu kadhaa miongoni mwa abiria haramu walijeruhiwa katika ajali hiyo.

    Mkuu wa mkoa wa Lualaba, Richard Muyej ameitaja ajali hiyo kuwa mbaya kabisa kuwahi kutoka katika mkoa huo.

    Ajali hiyo ilitokea katika kijiji kimoja kilomita 25 kutoka mji wa Lubudi, kuelekea Luena.

    Treni hiyo ilipoteza njia na kutoakana na kuwa ilikuwa imebebea pipa za mafuta ya gari, hali hiyo ilisababisha moto mkubwa.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako