• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (11 Novemba-17 Novemba)

    (GMT+08:00) 2017-11-17 17:10:15

    Waziri wa mambo ya kibinadamu wa Somalia ajiuzulu

    Waziri wa mambo ya kibinadamu wa Somalia Bibi Maryam Qasim amejiuzulu akitaja kukosekana kwa utaratibu serikalini.

    Hadi sasa mawaziri wawili wamejiuzulu katika miezi miwili iliyopita.

    Bibi Maryam Qasim anayechukuliwa kuwa ni mwenzi wa karibu wa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia, alifanya juhudi kubwa katika kazi ya kukabiliana na ukame na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni nchini humo.

    Amesema amejiondoa kwenye mambo ya kisiasa, lakini haipingi serikali.


    1  2  3  4  5  6  7  8  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako