• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Agosti 11-Agosti 17)

  (GMT+08:00) 2018-08-17 20:06:16

  Zaidi ya watu 35 wafariki baada ya daraja kuvunjika Italia

  Serikali ya Italia imetangaza hatua kadhaa baada ya kuvunjika kwa daraja huko Genoa, nchini Italia na kusababisha kuuwawa kwa zaidi ya watu 35.

  Hali ya dharura imetangazwa katika eneo hilo na itadumu mwaka mmoja kwa mujibu wa serikali ya Jimbo hilo.

  Kwa mujibu wa mashahidi hakuna matumani ya kuwapata tena watu walio hai.

  Watu wasiopungua 39 walipoteza miasha katika tukio hilo. Uchunguzi wa kupata wahusika umeanza. Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Italia, mtaalamu mmoja alikuwa ameonya muda mrefu kuhusu jinsi gani daraja hilo lilijengwa kimakosa kabla ya tukio hilo.


  1  2  3  4  5  6  7  8  9  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako