• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Desemba 1-Desemba 7)

    (GMT+08:00) 2018-12-07 19:03:41

    Kura ya maoni kuhusu katiba kupigwa Februari

    Kura ya maoni kuhusu katiba mpya nchini Libya inaweza kupigwa mnamo mwezi Februari 2019.

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (HNEC) Imed al-Sayeh amesema kura hiyo itafanyika ikiwa hali ya usalama itaimarika.

    Mwenyekiti wa Tume Taifa ya Uchaguzi (HNEC) amesema inawezekana kuandaa kura ya maoni kuhusu rasimu ya Katiba mwishoni mwa mwezi Februari.

    Amesema masharti ya kwanza yametimizwa na kupitishwa kwa sheria kuhusu kura ya maoni .

    Sheria hiyo ilipitishwa na bunge lililochaguliwa na lenye makao yake makuu mashariki mwa Libya.

    Hata hivyo, amesema kwamba akaunti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi iko kama tupu wakati inahitaji dinari milioni 40 (karibu dola milioni 30) kutekeleza operesheni ya uchaguzi.

    Zoezi hilo la kura ya maoni pia litategemea na hali ya usalama, "changamoto kubwa.

    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako