• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 25-Mei 31)

    (GMT+08:00) 2019-05-31 18:04:40

    China yalaani Marekani kwa kuiwekea Huawei vikwazo bila ya shahidi

    Serikali ya China wiki hi imeendelea kukashifu na kulaani kitendo cha Marekani cha kuwashawishi raia wake na watu wa nchi nyingine waamini kuwa kampuni ya Huawei inaleta matatizo ya kiusalama.

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema hayo kutokana na matamshi ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo hivi karibuni kuwa ushirikiano kati ya makampuni na serikali ya Marekani unafuata sheria ya Marekani, lakini hali ni tofauti nchini China.

    Amesema kampuni ya Huawei ni mbinu ya serikali ya China, na zina uhusiano wa karibu. Vilevile msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani amesema Marekani ina shahidi za kutoa mswada wa kuweka vizuizi kwa mashirika ya kiserikali ya Marekani kutumia vifaa vya Huawei.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako