• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Mei 25-Mei 31)

    (GMT+08:00) 2019-05-31 18:04:40

    Baraza la mpito la kijeshi la Sudan lasema, kuna uwezekano wa nchi hiyo kufanya uchaguzi mapema

    Makamu mwenyekiti wa Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan Mohamed Hamdan Daqlu amesema, Baraza hilo liko tayari kufanya uchaguzi ndani ya miezi mitatu na kukabidhi madaraka kwa raia kuliko makundi mengine yenye ajenda za siri.

    Daqlu amesema hayo alipozungumza na jeshi la polisi katika Chuo cha Polisi cha Sayansi na Sheria mjini Khartoum. Amesema uchaguzi unalenga kuchagua serikali kutoka kwa watu na sio kutoka kwa upande wa upinzani wa Muungano wa Uhuru na Mabadiliko.

    Amesisitiza kuwa, ushiriki wa serikali utakuwa na msingi katika asilia ya wawakilishi wanaotoka kwenye muungano huo. Pia amelaumu Muungano huo kwa kutaka kulitenga jeshi na vikosi vya kawaida kwenye uwanja wa siasa.


    1  2  3  4  5  6  7  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako