• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (Septemba 28-Oktoba 4)

  (GMT+08:00) 2019-10-04 16:54:53
  Watu 13 wafariki kwa ajali Kenya

  Watu 13 wameuwawa na wengine kujeruiwa katika ajali ya basi lililokuwa linatoka soko la Awasi Kisumu kuelekea Nairobi nchini Kenya majira ya saa tano na nusu usiku siku ya alhamisi.

  Kamanda polisi wa mjini Kisumu, Benson Maweu amethibitisha miila ya watu waliokufa katika ajali ya basi la Eldoret Express alfajiri saa nane na nusu.

  Kamanda wa polisi amesema kuwa kati ya watu hao 13 kulikuwa na mtoto mmoja.

  Watu 12 walikufa papo hapo kwenye basi na huyo mtu wa 13 ni dereva wa lori pia alikufa.

  Ripoti ya polisi nchini humo inasema kuwa basi hilo lilikuwa na abiria 51, na ajali imesababisha abiria 11 na madereva wote wawili wa basi na lori wamefariki.


  1  2  3  4  5  6  7  8  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako