• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Siangaliii jinsia yangu ninapocheza muziki; asema DJ wa kike kutoka Afrika mjini Beijing China
    Kazi ya DJ mara nyingi inachukuliwa kuwa ya wanaume. Lakini aghalabu kwenye karne hii ya 21 wanawake wameanza kuonyesha ubabe wao kwenye kazi hiyo ya burudani.
    Ndoa kati ya wachina na waafrika imekuwa ni sehemu ya kubadilishana utamaduni

    Huku ushirikiano wa kibiashara kati ya Afrika na China ukiendelea kuongezeka, maingiliano na mawasiliano ya utamaduni kati ya watu wa pande zote mbili pia unakua siku hadi siku. Ndoa ni aina mojawapo ya mifano ya kuonyesha jinsi wachina na waafrika wanatangamana.

    Ziara ya wastadi wa Kongfu China yafungua zaidi ufahamu wao kuhusu mchezo huo.

    Nchini Tanzania kuna zaidi ya vikundi 40 vya ustadi wa Kungfu. Lakini sio wote ambao wanafahamu vyema historia ya sanaa hiyo ya China kwani hawajahi kwenda nchini China.

    Ndoa iliyojaa mahaba kati ya mchina na mwafrika

    Ni safari ya maisha aliyokuwa akiyataka tokea utotoni. Akiwa amembega mwanae Emannuela wa miezi 10, Edwin Ata Rasiliamali kutoka Tanzania anaonekana mwenye furaha mpwito mpwito . Katika nyumba yake mjini Beijing, Edwin na mke wake mchina wanakumbuka jinsi walivokutana na kupendana mara ya kwanza wakiwa chuoni. Kwa Edwin, mapenzi hayachagui rangi wala dini.

    Mtaalam wa akiolojia kutoka Kenya asaidia wanafunzi wa China kufahamu zaidi historia ya china na Afrika mashariki.

    Huyu ni mfanya biashara wa kichina akiuza bidhaa mjini Mombasa pwani ya kenya-amejifunza lugha ya Kiswahili ambayo inazungumzwa na wengi mjini hapa ili kumwezesha kuwasiliana vyema na wateja wake.

    Msanii wa Kenya: Tamasha za maonyesho ya sanamu ya Changsha zilinisaidia kufahamu umuhimu wa kutumia mashine

    Tamasha za kimataifa za maonyesho ya sanamu zimekamilika mjini Changsha katika mkoa wa Hunan hapa nchini China. tamasha hizo ziliwaleta pamoja zaidi ya wachonga sanamu 20 maarufu kutoka nchi kama vile za Afrika, China, Marekani, Ujerumani na Italia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako