Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Utalii kwenye mlima Huaguo wa mji wa Lianyungang 2007/12/03
Kama umewahi kusoma kitabu cha hadithi maarufu ya kale ya China iitwayo "Safari ya Magharibi", hakika unaweza kumkumbuka Sun Wukong, mfalme kima mwenye uwezo mkubwa.
Kuangalia "vitu vitatu vya ajabu" kwenye kisiwa cha Junshan  2007/11/19
Ziwa la Dongting lililoko kwenye sehemu ya kati nchini China, ni ziwa lenye maji baridi linalochukua nafasi ya pili kwa ukubwa nchini China. Eneo la Ziwa hilo liko kwenye mikoa miwili ya Hubei na Hunan, umaalumu wa ziwa hilo ni kuwa linaungana na maziwa kadhaa madogo, na kuna milima katika maziwa.
Hekalu la Wanshou na jumba la makumbusho la sanaa la Beijing  2007/11/05
Kwenye sehemu ya magharibi ya mji wa Beijing kuna hekalu moja la kale linaloitwa hekalu la Wanshou, ambalo lilijengwa miaka 430 iliyopita. Hekalu hilo liliwahi kuwa mahali pa kufanya sherehe na kupumzika kwa wafalme wa enzi za Ming na Qing, hivyo hekalu hilo pia linaitwa kuwa ni "Jumba dogo la wafalme la zamani".
Sehemu ya mazingira ya asili yenye thamani ya Shennongjia 2007/10/22
 Shennongjia iliyoko kwenye sehemu ya kaskazini magharibi ya mkoa wa Hubei, katikati ya China, ni sehemu ya misitu minene ya asili yenye mimea aina zaidi ya 3,700 na wanakoishi wanyama zaidi ya aina 1,000. Sehemu hiyo inasifiwa kama ni ghala pekee lililohifadhi vizuri Jini(gene) za wanyama na mimea.
Ziwa Qinghai: maskani ya pamoja ya ndege na binadamu  2007/10/08
Mkoa wa Qinghai uliopo magharibi mwa China unajulikana duniani kutokana na kuwa na vyanzo vya mito muhimu barani Asia, mito hiyo ni pamoja na Mto Changjiang na Mto Huanghe ambayo ni mito mikubwa ya kwanza na ya pili nchini China, na Mto Mekong unaopita kwenye nchi mbalimbali za kusini mashariki ya Asia.
Kijiji cha Puzhehei, mahali pazuri kama peponi  2007/10/01
Mkoa wa Yunnan ni mkoa mkubwa kwa utalii nchini China, watu wengi wamewahi kusikia kuhusu miji ya Dali, Lijiang na Shangri-la. Lakini mahali tunapotaka kuwafahamisha leo ni mahali pengine penye mandhari ya kupendeza, mila na desturi nzuri, sehemu hiyo inaitwa Puzhehei, na iko katika wilaya ya Qiubei, mkoani Yunnan.
Matembezi kwenye mlima waYuntai mkoani Henan 2007/09/17
Nchini kuna sehemu nyingi zenye mandhari nzuri, mlima wa Yuntai ulioko kwenye mkoa wa Henan, katikati ya China ni sehemu moja yenye mandhari nzuri ya milima na mito. Mlima wa Yuntai uko katika wilaya ya Xiuwu, ya mji wa Jiaozuo, mkoani Henan, ambao ni moja katika kundi la kwanza la bustani za jiolojia zilizothibitishwa na shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa. Sehemu hiyo yenye mandhari nzuri ina eneo karibu kilomita za mraba 200, ina milima mingi yenye chemchemi.
Nyumba za jadi za wenyeji wa Beijing  2007/09/03
Nyumba zenye umaalumu zaidi za wakazi wa Beijing ni nyumba za kijadi za wenyeji wa Beijing, ambazo zinajengwa kuwa na pande nne za ua. Kutokana na ujenzi na matengenezo ya kupamba nyumba baada ya kuendelezwa katika miaka mia kadhaa iliyopita, nyumba hizo zimekuwa nyumba zenye mtindo maalumu wa kibeijing.
Mlima Aersha-lulu ya kijani iliyoko kwenye milima ya Xinganling 2007/08/20
Mlima Aershan, ambao unasifiwa kuwa ni lulu ya kijani iliyoko kwenye sehemu ya mashariki ya mkoa huo, uko kwenye sehemu ya kati ya milima inayojulikana kwa jina la Xinganling yenye umbali wa zaidi ya kilomita 200
Utamaduni, mila na hisia za watu wa kabila la wa-sani wa sehemu ya msitu wa mawe 2007/08/06
Kwenye sehemu ya msitu wa mawe ya mkoani Yunnan, wanaishi watu wa kabila la wasani, ambao ni wa tawi la kabila la wayi nchini China. Wa-sani wamevumbua utamaduni pamoja na nyimbo na ngoma za "Ashima" za sehemu ya msitu wa mawe. Katika kipindi hiki cha leo tutawafahamisha utamaduni, mila na hisia za wakazi wa sehemu ya msitu wa mawe.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10