Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
Jumba la maonesho ya vipande vya Jian na Du vyenye maandishi ya kichina mjini Changsha  2007/02/26
Leo tunawaoongoza kwenda mjini Shangsha mkoani Hunan, katikati ya China kutembelea Jumba la maonesho ya vipande vya Jian na Du, yaani vipande vya mianzi au vya mbao vyenye maandishi ya kichina mjini Changsha.
Kutembelea "Mji wa barafu" kaskazini mashariki mwa China 2007/02/12
Katika mji wa Harbin mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, wastani wa hali joto kwa miezi mitano ya mwaka ni chini ya nyuzi ya sifuri, ndiyo maana mji huo unaitwa na watu kuwa ni "mji wa barafu". Hali ya baridi imewapa wakazi wa mji huo mawazo mengi yasiyo na kikomo, ambao wameupamba mji wa Harbin kwa barafu na theluji kama dunia iliyosimuliwa kwenye hadithi za mapokezi.
"Mji ulioko kando ya miamba" mjini Chongqing 2007/01/29
Mji wa Chongqing uko kwenye eneo la kusini magharibi mwa China, mji huo unajulikana kwa sura yake pekee ya kijiografia, ambao unasifiwa na watu kuwa "mji wa mlimani" na unawavutia watalii wengi kutoka nchini na nje kutalii mjini humo.
Manzhouli-mji mdogo wa China wenye mtindo wa kirussia  2007/01/15
Katika sehemu ya mpaka kati ya Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani ya kaskazini mashariki ya China na nchi za Russia na Mongolia kuna mji mdogo unaoitwa Manzhouli, ambao ni mji mnadhifu wa kupendeza. Mji huo uko nchini China, lakini mtindo dhahiri wa kirussia unaonekana mjini humo
Kipindi maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, maskani ya Panda" (4)  2007/01/01
Katika makala ya tatu ya chemsha bongo kuhusu vivutio vya "Mkoa wa Sichuan, Maskani ya Panda" tuliwaelezea Mlima E mei na Mlima Leshan iliyojaa harufu nzito ya utamaduni wa dini ya Kibuddha, leo katika makala ya nne tutawaelezea sehemu za Mlima Qingcheng na Mfereji Dujiangyan ambazo ni mali ya urithi wa utamaduni duniani.
Utamaduni wa dini ya Kibuddha katika Mlima E Mei na Mlima Leshan  2006/12/25
Katika kipindi hiki maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, Maskani ya Panda", leo tunawaletea makala ya tatu kuhusu utamaduni wa dini ya kibuddha.
Utamaduni wa dini ya Kibuddha katika Mlima E Mei na Mlima Leshan 2006/12/18
Katika kipindi hiki maalum cha chemsha bongo kuhusu vivutio vya utalii vya "Mkoa wa Sichuan, Maskani ya Panda", leo tunawaletea makala ya tatu kuhusu utamaduni wa dini ya kibuddha. Kwanza tunatoa maswali mawili. La kwanza, Je Mlima E Mei ni moja kati ya sehemu takatifu za dini ya kibuddha nchini China? La pili, Sanamu ya Buddha mkuu ya Leshan ni sanamu kubwa kabisa duniani, je, urefu wake ni mita ngapi?
Kipindi maalumu cha chemsha bongo-"Kutembelea pepo ya dunia" 2006/11/27
Mkoani Sichuan kuna vivutio vingi vya utalii, ambapo kuna Bonde la Jiuzhaigou yaani bonde la vijiji 9 vya kabila la watibet na sehemu yenye mandhari nzuri ya Huanglong, hizi ni sehemu mbili zenye vivutio vingi vya utalii, sehemu hizo mbili zina tofauti gani, na kwanini wachina wanazisifu kuwa ni pepo ya dunia?
Wanakijiji wengi wa kabila la Wanu washiriki kwenye mambo ya utalii na kupata maendeleo 2006/11/13
Hivi sasa watu kadhaa wa kabila la Wanu wakisaidiwa na serikali ya huko, wameanza kujishughulisha na utalii na kupata maendeleo.
Guilin  2006/10/23
Watalii wa China waliowahi kuja China kutalii wengi walisema, mjini Xian kuna vivutio vya mabaki ya kale, mjini Guilin kuna vivutio vya milima na mito. Guilin iliyoko kusini magharibi ya China ni sehemu maarufu yenye mandhari nzuri nchini China.
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10