Mambo kuhusu visa ya utalii nchini China 2006/01/23 Ikiwa ni hatua ya kwanza kwa wewe kutembelea China, unapaswa kuishughulikia visa ya utalii. Wageni wanapaswa kuomba visa kwenye ofisi ya ubalozi ya China katika nchi za nje. Watalii zaidi ya 9 wakitaka kuitembelea China wanaweza kuomba visa ya utalii ya kikundi.
|
Ongezeko la kiasi kikubwa lapatikana katika shughuli za utalii nchini China 2006/01/16 Mwaka 2004 kiwango cha shughuli za utalii nchini China kiliinuka na ongezeko la kiuchumi la kiasi kikubwa lilipatikana katika shughuli za utalii.
|
Kutalii msituni katika Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani 2006/01/09 Wakati wa Mwezi Oktoba, hali ya hewa imeanza kuwa baridi na majani mbugani imeanza kunyauka, watalii wanaokwenda kutalii mbuga za majani katika mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani wa China walikuwa wanaanza kupungua. |
Kupanda basi kutembelea nchini China 2006/01/02 Leo tunapenda kuwafahamisha njia mbili za kupanda basi kutembelea nchini China, njia hizo mbili ni kutoka Beijing hadi Shanghai, na kutoka Beijing hadi Xian, ambazo zinapendwa na watalii wengi kutoka nchi za nje.. |
Mji mdogo wa kale Nanxun 2005/12/26 Katika mkoa wa Zhejiang, mashariki ya China kuna tambarare moja yenye ustawi inayoitwa Tambarare ya Ziwa Hangjia. Sehemu hiyo si kama tu ni sehemu inayozalisha mazao ya majini na mazao ya kilimo, bali pia inasifiwa kuwa ni sehemu inayozalisha hariri nzuri zaidi |
mji mdogo Mudu 2005/12/12 Katika sehemu ya magharibi ya Suzhou ambao ni mji maarufu wenye vivutio vya utalii, kuna mji mdogo unaoitwa Mudu. Mji mdogo wa Mudu unaegemea kwenye Mlima Lingyan |
Vivutio vya Mji Pingyao 2005/11/28 China ni nchi yenye historia ya miaka elfu 5, na katika historia ndefu kama hiyo ipo miji mingi ya kale, mji mdogo uitwao Ping Yao ni mmoja kati yake. |
Mambo kuhusu visa ya utalii nchini China 2005/10/17 Ikiwa ni hatua ya kwanza kwa wewe kutembelea China, unapaswa kuishughulikia visa ya utalii. Wageni wanapaswa kuomba visa kwenye ofisi ya ubalozi ya China katika nchi za nje.
|
Vyakula vya China 2005/10/11 Vitoweo vya China vimegawanyika katika aina nane kutokana na umaalumu wa mapishi yake, zikiwa ni pamoja na Shandong, Sichuan, Guangdong, Fujian, Jiangsu, Zhejiang, Hunan na Anhui.
|
Maelezo kuhusu taratibu za forodha 2005/10/03 Kwa kawaida, msafiri anapopita kwenye forodha, mizigo yote aliyokuwa nayo inatakiwa kukaguliwa. Mizigo ambayo haijakubaliwa na forodha haichukuliwi au kusafirishwa.
|