Biotekinolojia ya chakula ya China yafaa sana kwa nchi za Afrika 2005/11/11 Kuanzia tarehe 20 Oktoba hadi tarehe 28 Novemba, semina ya kuwaandaa wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea hasa kutoka nchi za Afrika kuhusu biotekinolojia ya chakula yanafanyika hapa Beijing. Semina hiyo iliendeshwa kwa pamoja na wizara ya biashara ya China na taasisi ya utafiti wa chakula na umuaji wa chakula cha China.
|
Ziara ya rais Mwai Kibaki nchini China yafungua ukurasa mpya wa uhusiano kati ya China na Kenya 2005/09/09 Kuanzia tarehe 15 hadi 19 Agosti, rais Kibaki wa Kenya alifanya ziara ya kitaifa nchini China. Hii ni mara yake ya kwanza kuitembelea China tangu ashike madaraka ya urais wa Kenya, yeye pia ni rais wa kwanza wa Kenya kuitembelea China katika miaka 11 iliyopita tangu mwaka 1994. Ziara ya rais Mwai Kibaki nchini China yamefungua ukurasa mpya wa uhusiano kati ya China na Kenya
|
Uongozi bora huleta maendeleo na ufanisi 2005/08/12 Kutokana na mwaliko wa Radio China Kimataifa, mkuu wa utangazaji wa Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC) Bwana John Osoro mwezi Julai mwaka huu aliitembelea China.
|
Urafiki na ushirikiano kati ya China na Zanzibar, Tanzania ulianzia tangu enzi na dahari 2005/07/22 uhusiano na Tanzania maana hii sasa ni la jumla, nikisema Watanzania nasema pia na wa Zanzibar. Uhusiano wa sasa hivi, unakwenda katika nyanja mbili.
|
Mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari na waziri wa nchi katika ofisi ya waziri kiongozi wa Zanzibar mheshimiwa Shamuhuna 2005/07/15 Kuanzia tarehe 10, ujumbe kutoka Zanzibar Tanzania ukiongozwa na waziri wa nchi katika ofisi ya waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamuhuna ulifanya ziara ya wiki moja hapa nchini China.
|
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bwana Chirau Ali Mwakwere tarehe 8 afika Beijing kwa ziara ya siku 5 nchini China 2005/06/10 Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bwana Chirau Ali Mwakwere tarehe 8 alifika Beijing kwa ziara ya siku 5 nchini China kutokana na mwaliko wa waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Li Zhaoxing.
|
Nchi za Afrika zafanya maonesho kuwavutia watalii wa China 2005/05/13 Kuanzia tarehe mosi hadi 7 mwezi Mei, maonesho makubwa yaitwayo "Ifahamu Afrika" (touch Africa) yalifanyika katika Bustani ya Dunia iliyoko kusini magharibi mwa mji wa Beijing.
|
China na Tanzania zaimarisha ushirikiano katika sekta za elimu na utamaduni 2005/04/20 Hivi karibuni waziri wa elimu na utamaduni wa Tanzania Bwana Joseph Mungai amefanya ziara nchini China, yafuatayo ni mahojiano kati ya mwandishi wetu wa habari na Bwana Mungai.
|
Itambue Afrika na utamaduni wake 2005/01/21 Katika ghorofa ya pili ya jengo jipya la "Golden Resources Shopping Mall" mjini Beijing, ambacho ni kituo kikubwa kabisa cha maduka barani Asia, kuna vibanda viwili vinavyouza vitu vya sanaa vya kiafrika na kahawa na miavuli kadhaa iliyoezekwa kwa makuti yaliyoagizwa kutoka nchi za Afrika, ambayo imekuwa kivutio kwenye kituo hicho cha maduka. Wateja wakijisikia uchovu baada ya kutembelea kwenye sehemu mbalimbali katika jumba hilo wanaweza kupumzika kidogo chini ya miamvuli ya makuti, kuagiza kikombe kimoja cha kahawa na kunywa kahawa huku wakiburudika na muziki mzuri, hii ni starehe kweli kweli.
|
|