v Maisha ya wakulima wa China kuwa mazuri siku hadi siku 2006/01/12 China ni nchi yenye wakulima wengi, kati ya idadi kubwa ya watu wa China, zaidi ya milioni 800 ni wakulima. Ikilinganishwa na wakazi wa mijini, kiwango cha maisha ya wakulima wengi bado ni cha chini. Katika miaka ya karibuni, namna ya kuboresha maisha ya wakulima limekuwa jukumu kubwa la serikali katika ngazi tofauti.
|
v Mtandao wa Internet wakidhi mahitaji ya Wachina ya kusoma habari na kujiburudisha 2006/01/05 Kutokana na maendeleo ya kasi ya sayansi na teknolojia, watu wengi zaidi nchini China wanapenda kusoma habari, kutafuta data kutoka kwenye mtandao wa Internet, ambao umekidhi mahitaji ya Wachina ya kusoma habari, na kusikiliza muziki, hata kutazama filamu kwenye mtandao wakati wa mapumziko.
|
v Huduma za kutafutia wachumba nchini China 2005/10/27 Bwana Ren Tian ni mkurugenzi wa kituo cha kutafutia wachumba cha Zijincheng ambacho ni kituo kikubwa kabisa cha aina hiyo mjini Beijing
|
v Wachina washerehekea kwa njia mpya sikukuu ya jadi ya mwezi 2005/09/22 Tarehe 18 Septemba yaani tarehe 15 Agosti kwa kalenda ya kichina, ni sikukuu ya jadi ya Wachina, yaani sikukuu ya mwezi. Hiyo ni moja ya sikukuu muhimu kwa Wachina.
|
v Wageni wanaopenda kuishi vichochoroni mwa Beijing 2005/09/08 Wageni wengi kutoka ng'ambo wanaofanya utalii au kuja kufanya kazi mjini Beijing hupenda kutembelea vichochoro vya Beijing, baadhi yao hata wanapenda kuishi katika nyumba za kupanga na hoteli za watu binafsi zilizoko vichochoroni.
|
v Wafanyakazi wanawake wa China wanaofuatilia mwelekeo wa kisasa 2005/08/25 Wanawake wa nchi za Asia ya mashariki wanajulikana duniani kwa upole na mvuto. Hivi sasa, kutokana na kuongezeka kwa wanawake waliojishirikisha kwenye shughuli za kijamii, idadi ya wanawake wanaofanya kazi katika idara za sekta mbalimbali, hasa katika eneo la utoaji huduma imeongezeka siku hadi siku
|
v Wanafunzi wengi wa nchi za nje wasome nchini China 2005/07/21 Ofisa wa wizara ya elimu ya China alidokeza kuwa, serikali ya China itaendelea kuchukua hatua za kuwahamasisha wanafunzi kutoka nje wasome na kufanya kazi nchini China.
|
v Jumuiya ya mitaa ya China yatoa huduma bora kwa wakazi 2005/07/07 Kutokana na maendeleo ya haraka ya kimji nchini China, ujenzi wa mitaa mijini umepata maendeleo makubwa, ambayo yameonekana dhahiri katika huduma za mitaa kama vile matibabu, kuwahudumia wazee nyumbani na kushughulikia watu waliofanya makosa ya kukiuka sheria waliohukumiwa kurekebishwa mienendo yao mitaani.
|
v Wazee wa Beijing wapenda kufanya mazoezi kwa kuandika maandiko ya kichina sakafuni 2005/06/23 Katika miaka ya karibuni, wazee wa Beijing wanaopenda kufanya mazoezi ya asubuhi ya kujenga mwili kwenye bustani, licha ya kucheza michezo ya jadi kama vile mchezo wa Taiji na ngoma, sasa pia wanapenda shughuli nyingine yenye umaalum wa kiutamaduni, yaani kuandika maandiko ya kichina sakafuni.
|
v serikali yawatuma watumishi kuwasaidia wazee majumbani mwao 2005/05/13 Takwimu zinasema kuwa, hivi sasa asilimia 10 ya wachina ni wazee wanaozidi umri wa miaka 60. kutokana na China kuingia katika jamii yenye idadi kubwa ya wazee...
|