![]() Mshambuliaji wa Atletico Madrid ya Hispania Alvaro Morata, 27, amejiunga na klabu ya Juventus ya Italia kwa mkopo wa muda mrefu. Morata aliwahi kucheza Juventus (2014-2016) na baadaye kujiunga na Real Madrid ya kwao Hispania |
![]() Baada ya kocha wa Juventus ya Italia Andrea Pirlo kunukuliwa akisema kuwa Luis Suarez ni ngumu kuwa mshambuliaji wao sababu ya ishu za uraia wa Italia kuwa ni mchakato mrefu. Sasa |
![]() Liverpool wakiwa Stamford Bridge ambapo ndio nyumbani kwa Chelsea, wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-0, magoli hayo yakiwekwa wavuni na Sadio Mane dakika ya 50 na 54. |
![]() Nahodha na mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi anaongoza kwenye orodha ya wanasoka wanapata fedha kubwa duniani, kwa mujibu wa Jarida la Forbes. |
![]() Madereva wa kimataifa wanasubiri kwa hamu kubwa kushiriki mbio za magari za Safari Rally zitakazorejea kwenye ratiba ya Shirikisho la Mbio za Magari Duniani (WRC) mwaka 2021. |
![]() Mshindi wa nishani ya fedha katika Olimpiki za Rio 2016, Hyvin Kiyeng, alimpiku bingwa wa dunia, Beatrice Chepkoech kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitatu. |
![]() Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Salomon Kalou yukokwenye maandalizi ya kuwa mjasiriamali baada ya kustaafu soka. |
![]() Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Abdillahie Yussuf amejiunga na Wrexham ya Wales inayocheza Ligi Daraja la Tano England, maarufu kama National League kwa mkopo wa hadi mwisho wa msimu kutoka Blackpool FC ya Daraja la Tatu. |
![]() Wanamasumbwi wa kulipwa nchini Tanzania Twaha Hassan 'Twaha Kidudu na Abdallah Pazi 'Dullah Mbabe' wanatarajia kupanda ulingoni Desemba 26 mwaka huu kuzichapa katika pambano la usiku wa mabingwa. |
![]() Timu ya Houston Rockets imefuzu kucheza nusu fainali ya ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA kwa kuifunga Oklahoma City Thunder kwenye mchezo wa mtoano kwa ushindi wa jumla wa mechi 4-3. |
![]() Klabu ya soka ya Ufaransa PSG imethibitisha kupitia Twitter kuwa wachezaji wake watatu wana ugonjwa wa Covid-19. |
![]() Muingereza Andy Murray alicheza mechi yake ya kwanza ya Grand Slam tangu mwaka 2019 na kushinda dhidi ya Mjapan Yoshihito Nishioka katika mchezo wake wa raundi ya kwanza ya michuano ya wazi ya Marekani. |
![]() Imeelezwa kuwa Manchester United ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya beki wa Klabu ya RB Leipzig, Dayot Upamecano kwa ajili ya kuongeza nguvu msimu ujao wa 2020/21. |
Macho yote ya mashabiki leo yanaelekezwa uwanjani Camp Nou, Uhispania kujua iwapo nyota Lionel Messi atakuwa sehemu ya wanasoka wa Barcelona watakaorejea kambini kujifua kwa minajili ya msimu ujao wa 2020-21. |
![]() Mcheza tennis raia wa Japan ambaye pia ni mshindi mara mbili wa mashindano ya Grand Slam Naomi Osaka, amejitoa kwenye robo fainali ya mashindano ya wazi ya tennis duniani yanayofanyika New York, Marekani, ikiwa ni kupinga kitendo cha polisi kumpiga risasi Mmarekani mweusi Jacob Blake ambaye hakuwa na silaha huko Wisconsin |
![]() Rais wa klabu ya Barcelona Josep Maria Bartomeu amepinga mtizamo wa mashabiki wa timu hiyo wanaomtaka ajiuzulu endapo Lionel Messi ataondoka. |
![]() LeBron James alifunga alama 30 akiiongoza Los Angeles Lakers, na kuibuka na ushindi wa alama 135-115 dhidi ya Portland Trail Blazers katika mchezo wa mtoano ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani. |
![]() Mashabiki wa klabu ya Young Africans wanaamini usajili wa Mshambuliaji kutoka Ghana Michael Sarpong, huenda ukawa jibu sahihi la maswali waliyokua wanajiuliza, nani atakua mbadala wa David Molinga aliyeondoka klabuni hapo siku kadhaa zilizopita. |
![]() Bao la ufundi kupitia kichwa kutoka kwa Kingsley Coman katika kipindi cha pili uwanjani Estadio do Sport Lisboa liliiwezesha Bayern Munich kuifunga Paris Saint-Germain na kushinda taji la Ligi ya Mabingwa kwa mara ya sita. |
![]() Nyota wa Klabu ya Barcelona, Lionel Messi amemwambia kocha wake mpya Ronald Koeman kwamba hana matumaini ya kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |