![]() Mcheza Kickboxing maarufu nchini Tanzania, Japhat Kaseba amesema kuwa, ana mpango wa kuandaa mashindano ya vijana ya mchezo huo, ambayo yatafanyika baada ya tamko la Serikali la kuruhusu mikusanyiko ya watu, ikiwamo michezo. |
![]() |
![]() Nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Tottenham Hotspur, Harry Kane, amedhamini jezi za kikosi chake cha zamani cha Leyton Orient kwa minajili ya kampeni za msimu ujao. |
![]() |
![]() Staa wa Barcelona Lionel Messi kwa mara nyingine tena ameonyesha ukarimu wake baada ya kutoa mchango wa pound laki 5 kusaidia katika vita dhidi ya virusi vya corona nchini Argentina. |
![]() |
![]() Beki Danny Rose wa Tottenham Hotspur amekashifu na kupinga vikali mipango ya vinara wa soka nchini Uingereza kuanza tena kivumbi cha Ligi Kuu ya taifa hilo kabla ya virusi vya homa kali ya corona kudhibitiwa kote duniani. |
![]() |
![]() Klabu za Ligi Kuu ya Uingereza zinatarajiwa kulipa jumla ya sawa na Sh za Kenya bilioni 47 kwa kampuni zitakazorusha mechi zao za kitaifa na kimataifa hata kama michuano tisa iliyosalia msimu huu itachezwa bila mashabiki. |
![]() |
![]() Kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa Kylian Mbappe ndiye mchezaji pekee ambaye anaamini kwa upande wake anaweza kuja kuchukua nafasi ya miamba hii miwili ya soka duniani Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() Shirikisho la Soka Rwanda limesema kuwa uamuzi wa hatma ya msimu wa Ligi Kuu ya Rwanda 2019/20 utajulikana wiki hii. |
![]() |
![]() |
![]() Beki wa zamani wa club ya Zamalek ya Misri Hamdi Nagguez, 27, amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela kwa kosa la kumtolea hadharani lugha ya matusi afisa wa umma wa wizara ya mambo ya ndani ya Tunisia. |
![]() Shirikisho la soka Ufaransa (LFP) limetangaza rasmi kuwa klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa kuwa ndio Mabingwa wa Ligi Kuu nchini humo (Ligie 1) 2019/20. |
![]() Mshambuliaji wa zamani wa Man City Mario Balotelli ameweka wazi kuwa alikuwa mbioni kujiunga na club ya Juventus ya Italia akitokea Manchester City kabla ya kubadilisha mawazo. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |