![]() Timu ya Cricket ya West Indies imekubali kimsingi kufanya ziara nchini Uingereza baada ya kufanya mkutano kwa njia ya video wiki iliyopita. |
![]() |
![]() Waziri wa Michezo nchini Italia, Vincenzo Spadafora ametangaza kuwa, kivumbi cha Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kitaanza tena Juni 20, 2020. Ligi hiyo iliahirishwa Machi 9, 2020, zikiwa zimesalia raundi 12 za mechi za kusakatwa kabla ya msimu huu kumalizika rasmi. |
![]() |
![]() Mwanariadha mkongwe nchini Kenya Kipchoge Keino amesema ni heshima kubwa kwake kwa waandaaji wa Mkutano wa Nairobi kuita shindano la ufunguzi la Mashindano ya Riadha Duniani kwa jina lake. |
![]() |
![]() Kocha Mkuu wa timu ya Yanga nchini Tanzania Luc Eymael, amefunguka kwamba licha ya Serikali kuruhusu michezo lakini Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wanatakiwa kutoa muda kwa ajili ya timu kupata nafasi ya kufanya mazoezi ya pamoja. |
![]() |
![]() Ulimwengu wa soka bara Afrika unaomboleza kifo cha ghafla cha mchezaji soka wa Cameroon mwenye miaka 21, Joseph Bouasse ambaye aliaga dunia kutokana na mshtuko wa moyo. |
![]() |
![]() Uondozi wa timu ya Chelsea, umedai upo tayari kumruhusu kiungo wao N'Golo Kante kuikosa michezo yote iliyobaki ya msimu huu wa 2019-20 kama ataendelea kuwa na hofu ya kuenea kwa virusi vya corona. |
![]() |
![]() Timu ya Coastal Union nchini Tanzania imesisitiza kuwa Bakari Mwamnyeto bado ni mchezaji wao na ana mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu hiyo. |
![]() |
![]() Kipa Manuel Neuer wa Bayern Munich amerefusha mkataba wake na kikosi hicho cha Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) kwa miaka mitatu zaidi hadi Juni 2023. |
![]() |
![]() Nahodha wa timu ya Watford, Troy Deeney, amesema hatarejea katika kambi yao uwanjani Vicarage Road kwa mazoezi yanayofanywa sasa na wanasoka wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa minajili ya kampeni zilizosalia msimu huu wa 2019-20. |
![]() Kocha Mauricio Pochettino sasa yuko huru kujiunga na klabu anayotaka bila vikwazo kutoka kwa waajiri wake wa zamani Tottenham Hotspur baada ya marufuku ya miezi sita yaliyomzuia kufanya hivyo kukamilika. |
![]() Wakati virusi vya Corona vikiendelea kuikumba dunia nzima, kundi la wanamichezo limeamua kutangazia tishio la watu walio hatarini katika jamii. |
![]() |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |