![]() David Beckham anataka straika wa zamani wa Chelsea, Diego Costa ajiunge na timu yake ya Inter Miami. Inter Miami, msimu huu imecheza mechi mbili kabla ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS) haijasimamishwa kutokana na janga la corona. |
![]() Mmiliki wa Klabu ya Inter Miami, David Beckham anafikiria mpango wa kumsajili Alexis Sanchez kutoka Manchester United. Sanchez amecheza msimu huu kwa mkopo Inter Milan, lakini miamba hiyo ya Serie A haina mpango wa kumchukua jumla, na ameishia kucheza mechi tisa tu za Ligi na anasumbuliwa na majeruhi. |
![]() Nyota wa zamani wa FC Barcelona na AC Milan Ronaldinho amefanya mahojiano kwa mara ya kwanza toka akamatwe nchini Paraguay kwa tuhuma ya kukutwa na passport bandia. |
![]() |
![]() Bondia Floyd Mayweather, amesema kuwa licha ya kutangaza kustaafu kupanda ulingoni kuzichapa, lakini anaweza kurejea tena ikimbidi kufanya hivyo. |
![]() Nahodha wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars na kiungo wa zamani wa Tottenham Hotspur, Victor Wanyama, amelisihi Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) kufanya kila linaloweza kuhakikisha kwamba nchi hiyo inashiriki mechi zijazo za kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia za 2022 nchini Qatar. |
![]() Klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu nchini Uingereza imesema kuwa imestushwa na taarifa kuhusu mshambuliaji wao Moise Kean kuvunja sheria ya kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima wakati huu wa kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona. |
![]() Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor, amepuuzilia mbali wanaotaka atoe sehemu ya mali yake ya Sh 4.8 bilioni kusaidia katika vita dhidi ya janga la corona nchini mwake. |
![]() |
![]() Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' ni mchezaji bora Mtanzania katika nafasi ya kiungo licha ya kuwa bado hajaonesha uwezo wake kwa asilimia 100. |
![]() |
![]() |
![]() Huenda kiwango kikubwa cha mshahara wa Victor Wanyama kikakatwa kufuatia ripoti kuwa chama cha wachezaji wa Major League Soccer (MLS) kinajadiliana na wachezaji kuhusu suala hilo kutokana na janga la virusi vya corona. |
![]() |
![]() Uongozi wa klabu ya Manchester United umepongezwa kwa kuchukua hatua ya kuzipunguza mwanga baadhi ya herufi za maandishi kwenye neno Manchester lililoandikwa uwanja wa Old Trafford na kubakia herufi HNS UNITED |
![]() Mchezaji wa zamani wa Man City Dickson Etuhu, 37, amefungiwa miaka mitano kujihusisha na soka kutokana na kubainika kuwa alihusika kupanga matokeo ya mechi Mei 2017. |
![]() Paul Pogba amewazungumzia wachezaji nyota Paul Scholes na Andrea Pirlo kuwa ni wachezaji wa aina yake. |
![]() Klabu ya Tottenham Hotspurs jana ilionesha ilivyobadili sehemu ya uwanja wake na kuwa sehemu ya kutolea huduma kwa watu kupima maambukizi ya virusi vya corona. |
![]() Bingwa wa Kenya wa mbio za Marathon ya London za mwaka 2017 Daniel Wanjiru amefungiwa kushiriki riadha kwa kutumia dawa za kusisimua misuli. |
![]() Promota wa Fury, Frank Warren amesema bondia Tyson Fury ambaye anashikilia taji la WBC la uzani wa juu ambalo Mwingireza Anthony Joshua hana amepangiwa kuzidunda na Deontay Wilder wa Marekani kwa mara ya tatu mnamo Oktoba 2020. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |