![]() |
![]() Bingwa wa Olimpiki Eliud Kipchoge kutoka Kenya amesema kwamba, kuahirishwa kwa michezo hiyo iliyokuwa ifanyike jijini Tokyo, Japan kati ya Julai 24 na Agosti 9, 2020, kumeyumbisha ndoto za wanariadha wengi kitaaluma. |
![]() Klabu ya Shanghai Shenhua ya hapa China imetoa ofa ya kumuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wake Odion Ighalo (30) ambaye anacheza kwa mkopo Manchester United. |
![]() Promota Frank Warren amesema bingwa wa dunia wa heavyweight Muingereza Tyson Fury anaweza kupigana na Mmarekani Deontay Wilder katika pambano lao la tatu mwezi Oktoba. |
![]() Kamati ya Olimpiki ya kimataifa (IOC) imethibitisha kuwa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 inaahirishwa hadi mwakani kwa sababu ya janga la ugonjwa wa corona uliotikisa dunia kwa sasa. |
![]() Beki kisiki wa Inter Milan, Milan Skriniar amewaingiza vitani vigogo wa klabu za Paris Saint-German (PSG), Real Madrid na Machester City ambao wanapishana jijini Milan kusaka saini yake kwa ajili ya dirisha kubwa lijalo la usajili. |
![]() Baba mzazi wa mshambuliaji wa Real Madrid Luka Jovic ameonesha kutokuwa na tatizo endapo mtoto wake Jovic ataenda jela kwa kosa linalodaiwa kuwa la kizembe la kupuuzia agizo la kukaa karantini Hispania. |
![]() Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe ameliambia bunge la nchi hiyo kuwa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo inaweza kuahirishwa kutokana na kuenea kwa virusi vya corona duniani. |
![]() Rais wa zamani wa timu ya Real Madrid ya Hispania, Lorenzo Sanz amefariki dunia kwa virusi vya corona. Sanz mwenye umri wa miaka 76 alikuwa Rais wa Madrid kwa miaka mitano (1995 - 2000) alifariki Ijumaa wakati akipatiwa matibabu ya virusi vya Corona. |
![]() Klabu ya Arsenal imegundua mchezo mchafu unaofanywa na Barcelona ambao wanatajwa kumshawishi mshambuliaji wao, Pierre-Emerick Aubameyang kujiunga na timu hiyo yenye maskani yake Camp Nou. |
![]() |
![]() Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amesema Millenium Hotel iliyoko Stamford Bridge itawapokea na kuwapa malazi maafisa wa afya wa serikali wanaopambana na virusi vya korona. |
![]() |
![]() Sadio Mane ameendelea kuwa mwaminifu kwa taifa lake Senegal licha ya kujipatia utajiri wake barani Ulaya. |
![]() |
![]() Ulimwengu wa soka unaomboleza kifo cha kocha wa Uhispania Francisco Garcia ambaye alifariki dunia baada ya kupatwa na virusi vya corona. |
![]() |
![]() Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe amesema michezo ya Olimpiki ya Tokyo itafanyika Julai kama ilivyopangwa, licha ya mlipuko wa virusi vya korona ambavyo vimesababisha mashindano mengi ya michezo kuahirishwa sehemu mbalimbali duniani |
![]() |
![]() Kocha wa zamani wa timu ya Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amefunguka licha ya timu hiyo kuendelea kufanya vizuri katika mechi za Ligi Kuu Bara lakini haoni nafasi yao ya kuweza kuvunja rekodi ya kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu ujao. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |