• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • SOKA: Kibrua cha Ole Gunnar Solskjaer chanukia kuota mbawa 2020-11-06
    Manchester United wamemuendea Mauricio Pochettino ili kuchukua nafasi ya kocha aliyopo sasa Ole Gunnar Solskjaer.
    • SOKA: Kinda wa Real Madrid Rodrygo aiokoa klabu yake kutopata sare 2020-11-05
    Kinda wa Real Madrid Rodrygo ameiokoa klabu yake kutopata sare kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa katika hatua ya makundi ambao ulimalizika kwa Madrid kushinda mabao 3-2 dhidi ya Inter Milan ikiwa Uwanja wa nyumbani Alfredo Di Stefano.
    • SOKA: Guardiola asema muda wake Barcelona umekwisha 2020-11-03
    Pep Guardiola anasisitiza kuwa muda wake katika klabu ya Barcelona umekwisha baada ya mkufunzi huyo wa Manchester City kuhusishwa na uhamisho wa kurudi katika mabingwa hao wa Uhispania.
    • SOKA: Wanyama kuwania tuzo ya mchezaji mpya Amerika na Canada 2020-10-30
    Nyota Victor Mugubi Wanyama anayechezea timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars na timu ya Montreal Impact, amewekwa kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo za Ligi Kuu ya Amerika na Canada (MLS) katika msimu wake wa kwanza kwenye ligi hiyo ya timu 26.
    • NDONDI: Mwakinyo arudi namba moja nchini, apanda Afrika, dunia 2020-10-29
    Bondia Hassan Mwakinyo amepanda kwa nafasi 14 katika viwango vya ngumi duniani, huku akitajwa kuwa bondia namba moja nchini Tanzania.
    • SOKA: Mkwasa azipasha Simba Yanga na Azam 2020-10-28
    Kocha wa Klabu ya Ruvu Shooting ya Pwani, Charles Boniface Mkwasa amesisitiza kwamba vilabu vinatakiwa kuwapa nafasi wachezaji wazawa kwa kuwa wana uwezo mkubwa wa kucheza mpira wa miguu.
    • SOKA: RS Berkane mabingwa Kombe la Shirikisho 2020-10-27
    Wenyeji RS Berkane wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Pyramids ya Misri kwenye mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Prince Moulay Abdallah Jijini Rabat, Morocco.
    • VOLLEYBALL: Bouchra Hajij achaguliwa kuwa rais mpya wa CAVB 2020-10-26
    Hajij Bouchra, raia wa Morocco amechaguliwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Wavu (Volleyball) la Afrika (CAVB).
    • Real Madrid yachapwa 3-2 na Shakhtar Donestk kwenye mechi ya klabu bingwa Ulaya 2020-10-22
    Katika hali ya kushangaza Real Madrid, wakiwa nyumbani wamekubali kipigo cha magoli matatu kwa mawili dhidi ya klabu ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine kwenye mchezo wa Kundi B wa Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid.
    • VPL: Simba kuwa na wakati mgumu mjini Sumbawanga 2020-10-21
    Timu ya Simba kimeondoka jana kwenda mjini Sumbawanga, kuifuata Tanzania Prisons, huku Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck, akisema amejipanga kukabiliana na kila changamoto ili kurejea na ushindi.
    • Klabu za Kenya hatarini kwenye michezo ya CAF kama ligi haitarudishwa 2020-10-20
    Ofisa mkuu Mtendaji wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), Barry Otieno ameonya kwamba klabu zaKenya zinaweza kujikuta zikikosa mechi za kimataifa barani Afrika msimu ujao kama Ligi Kuu ya Kenya haitaanza hadi mwezi ujao. FKF
    • Huenda beki wa Liverpool akawa nje kwa msimu mzima kutokana na kujeruhiwa 2020-10-19
    Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kujeruhiwa gozi kwenye mechi iliyochezwa wikendi hii ikishuhudia Liverpool ikisimamishwa kwa sare ya 2-2 na Everton katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) uwanjani Goodison Park.
    • USAMARIA WEMA: Marcus Rashford aja na kampeni mpya ya huduma ya chakula kwa watoto mashuleni 2020-10-16
    Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amekuja na kampeni mpya ya kutaka Serikali ya Uingereza kuidhinisha ongezeko la bajeti ya huduma ya chakula kwa watoto mashuleni ili kupunguza baa la njaa miongoni mwao.
    • SOKA: Juan Mata akata ofa ya mkwanja mnene kuhamia Saudi Arabia 2020-10-15
    Juan Mata anaripotiwa kukataa ofa kubwa ya pauni milioni 18 kuhamia katika klabu moja ambayo haikutajwa ya Saudi Arabia. Mata kwa miaka kadhaa sasa amekuwa akitupwa mkekani na hajashirikishwa katika mechi ya Man United.
    • SOKA: Neymar na ndoto zake za kuwakimbilia Pele na Ronaldo 2020-10-14
    Neymar Junior, alifunga magoli matatu katika ushindi wa 4-2 ulioupata Brazil, dhidi ya Peru katika muendelezo wa michezo ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia 2022. Nyota
    • KIKAPU: LA Lakers Bingwa wa NBA 2020, LeBron ang'aa tena 2020-10-12
    Nyota wa LA Lakers LeBron James ameshinda taji la NBA 2020, Lebron anakuwa kashinda mataji manne ya NBA akiwa na timu tatu tofauti.
    • RIADHA: Kibiwott Kandie amtumia salamu Joshua Cheptegei 2020-10-09
    Bingwa wa mbio za nyika nchini Kenya, Kibiwott Kandie, amesisitiza kuwa analenga kumzidi maarifa mfalme wa dunia katika mbio za mita 5,000 Joshua Cheptegei ambaye ni raia wa Uganda, kwenye Nusu Marathon ya Dunia itakayofanyika Gydnia, Poland Oktoba 17.
    • Golikipa wa Azam FC aendelea kuwa na rekodi safi 2020-09-29
    Golikipa namba moja wa Azam FC David Kissu ameweka rekodi ya kuwa golikipa pekee kwenye Ligi Kuu Bara kucheza dakika nyingi bila kuruhusu bao baada ya kucheza dakika 360 sawa na mechi nne.
    • Samatta aanza kucheza Uturuki baada ya kuhama England 2020-09-28
    Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana ametokea benchi kipindi cha pili, timu yake mpya, Fenerbahce ikilazimishwa sare ya 0-0 na Galatasaray katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki Uwanja wa Telekom Jijini İstanbul.
    • SOKA: Frank de Boer awa mkufunzi wa timu ya taifa ya Uholanzi 2020-09-24
    Kocha wa zamani wa Ajax, Frank de Boer ameteuliwa kuwa mkufunzi wa timu ya taifa ya Uholanzi. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 50 amepewa mkataba wa miaka miwili ambao utatamatika mwishoni mwa fainali za Kombe la Dunia zitakazoandaliwa nchini Qatar mnamo 2022.
    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako