![]() Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani usiku wa kuamkia leo imeshinda kwa mabao 3-0 mbele ya Lyon kwenye mchezo wa nusu fainali wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. |
![]() Siku tatu baada ya Barcelona kutangaza kuachana na kocha Quique Setien baada ya kudhalilishwa kwa kichapo cha 8-2 kutoka kwa Bayern Munich kwenye robo-fainali za Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) jijini Lisbon, Ureno |
![]() Lionel Messi ametangaza kutaka kuondoka Barcelona msimu huu, kwa mujibu wa taarifa zilizopo nchini Hispania. Nyota huyo wa kimataifa wa Argentina amedaiwa kutaka kuondoka katika klabu hiyo ya Hispania na inasemekana ameshawaambia mabosi. |
![]() Mesut Ozil, amezima tetesi zilizokuwa zikimhusisha kwamba anaweza kuondoka Arsenal kwa kufichua kwamba atamalizia taaluma yake ya soka ugani Emirates. |
![]() Klabu ya PSG ya Ufaransa imekata tiketi ya kucheza hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya UEFA Champions League kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1995. |
![]() Kiungo mshambuliaji mzawa wa Brazil, Willian Borges da Silva, 32, amethibitisha kuondoka kambini mwa Chelsea baada ya kuwahudumia kwa kipindi cha miaka saba. |
![]() Nyanja ya Raga inaomboleza kifo cha mchezaji Ian Waraba ambaye aliaga dunia siku ya Jumamosi, baada ya kuzama kwenye Bwawa la Wamuini mjini Kitale, Kaunti ya Trans Nzoia. |
![]() Philippe Coutinho anakaribia kuhamia rasmi Ligi Kuu na kujiunga na miamba wa London kaskazini Arsenal, kulingana na ajenti wake ambaye pia anadai kuwa uhamisho wa kiungo huyo wa kati wa Barcelona unakaribia kukamilika. |
![]() Klabu ya Fulham imejihakikishia nafasi ya kurudi katika Ligi Kuu ya England (EPL) baada ya beki wao wa kushoto Joe Bryan, kufunga mabao mawili katika muda wa nyongeza. |
![]() Timu ya Napoli inayoshiriki Ligi Kuu ya Italia (Serie A) imemsajili mshambuliaji chipukizi mzawa wa Nigeria, Victor Osimhen kutoka Lille ya Ufaransa. |
![]() Mshambuliajin wa klabu ya Crystal Palace inayoshiriki Ligi Kuu ya England Wilfred Zaha, amesema anapata wakati mgumu kufungua kurasa za mitandao ya kijamii anazozimiliki, kwa kuhofia maneno ya kibaguzi ambayo hutumwa na watu wanaoendekeza dhambi hiyo. |
![]() Nahodha wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars, Victor Wanyama anaonekana kuwa amerejesha makali yake miezi michache baada ya kuhamia Major League Soccer. |
![]() Bondia matata Floyd Mayweather anatajwa kufikiria kurudi ulingoni mwaka huu akiwa na umri wa miaka miaka 43, kwa kinachodaliwa kufuja dola bilioni moja alizopata kutoka kwenye mchezo wa ndondi. |
![]() Shirikisho la Soka la nchini Afrika Kusini (SAFA) limemfutia vibali vya kazi Luc Eymael aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu ya Yanga kufanya kazi ndani ya nchi Afrika Kusini. |
![]() Kocha mbelgiji ambaye jana alitimuliwa na Yanga kutokana na matumizi ya lugha chafu na lugha ya kibaguzi, amesema alifanya hivyo kutokana na hasira, hasa baada ya kuona kuwa timu yake imeshindwa kupata ushindi dhidi ya timu ya Mtibwa sugar, na kulazimishwa sare ya goli moja kwa moja. |
![]() Wapenzi wa soka nchini Tanzania wataendelea kumwona kijana mtanzania Mbwana Ally Samatta akiwa na kikosi cha Aston Villa kilichoinusuru timu hiyo kushuka daraja, baada ya sare ya 1-1 na wenyeji West Ham United Uwanja wa London. |
![]() Kocha wa zamani wa klabu ya Arsenal Unai Emery sasa ametangaza rasmi kurejea kufundisha soka nchini Hispania kama kocha mkuu wa klabu ya Villarreal, baada ya klabu hiyo leo kumtambulisha rasmi kama kocha wao mkuu toka afutwe kazi na Arsenal. |
![]() Nyota wa klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Kyliane Mbappe amethibitisha kuwa ataendelea kuwa katika klabu hiyo kwa msimu ujao tena licha ya kwamba amekuwa akihusishwa kuwa katika rada za Real Madrid kwa muda mrefu na sasa Mabingwa hao wa Hispania wanadaiwa kuongeza nia. |
![]() Kwa mujibu wa gazeti la habari za michezo la Nchini Uturuki la Takvim limeripoti kuwa klabu ya Fenerbahce ya Uturuki inavutiwa na mshambuliaji mpya wa Aston Villa ya England, Mbwana Samatta. |
![]() Tuzo ya Ballon d'Or inayohusu wanasoka bora wa mwaka haitatolewa mwaka huu wa 2020 kutokana na janga la corona. Waandaaji wa tuzo hiyo, France Football wametangaza uamuzi huo wakidai kwamba hakutakuwa na usawa kutokana na ukweli kwamba janga la corona limesababisha ligi mbalimbali za soka kufutwa ndani ya msimu. |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |