JUHUDI ZA KUONDOA UMASKINI AFRIKA KUPITIA USHIRIKIANO 2018-08-16 Kati ya malengo ya ushirikiano endelevu kati ya Africa na China kuondoa janga la umaskini ni mojawapo ya malengo kuu. Licha ya dharura iliyoko katika kuondoa umaskini barani Afrika , ni muhimu kuzingatia kwamba sio jambo rahisi kukabiliana nalo. |
MAKAVAZI YA KIHISTORIA SHANGHAI 2018-08-08 |
FOCAC 2018 NA MATARAJIO YAKE 2018-08-06 Mwakani 2015 kongamano kuu la Forum for China Africa Corporation yaani FOCAC lilifanyika mjini Johannesburg Africa Kusini. Sababu kubwa ya mkutano huu ilikuapanga mbinu ambazo China na nchi mbalimali barani Afrika zingeweza kushirikiana katika maswala ya maendeleo. |
Palipo Zaliwa Chama Tawala Cha China 2018-08-02 Jambo moja lisiloweza kupingwa ni bidii ya Wachina kudumisha historia,kwa kuhifadhi majengo yao vifaa, hadithi na hata ushairi wao. Lolote lililonaumuhimu wa kihistoria utalipata leo likiwa limetunzwa licha ya kuwa na asili ya jadi. |
Barabara kuu ya Nanjing mjini Shanghai ni maarufu dunia nzima 2018-07-30 Barabara kuu ya Nanjing mjini Shanghai ni maarufu dunia nzima Inamaduka si haba na huvutia watalii na wenyeji usiku na mchana. Kama ilivyodesturi ya Shanghai barabara majengo hapa ni ya asili ya kingereza huku yakiwa na vipengele vya Kichina. |
Utangamano wa Waafrika Beijing 2018-07-27 Huku kongamano la FOCAC likikaribia, hatuna budi kutafakari uhusiano kati ya China na bara la Afrika. Kama tunavyo jua bara la Afrika linajitahidi kuendelea kiuchumi na ni kwa sababu hii , nchi tofauti zimechagua kushirikiana na China katika miradi nyingi zitakazosaidia jitihada hizo. |
Oriental Pearl TV Tower 2018-07-17 Oriental Pearl TV Tower ni mojawapo ya majengo marefu barani asia.Jengo hili la kupendeza lipo mashariki mwa mto wa Huangpu mjini Shanghai. Likiwa na urefu wa mita mia nne sitini na nane, jengo hili linatembelewa na mamilioni ya watalii kutoka China na sehemu zote za dunia. Watalii hao humiminika jengoni usiku na mchana wengi wakitaka kushibisha ari ya kuyaona mandhari mazuri ya Shanghai kutoka angani. |
Daraja Kuu La Zhuhai, Makau na Hongkong 2018-06-27 Mradi wa njia moja ukanda mmoja ina nia ya kuunganisha China na sehemu nyingi za dunia nzima. Hii itaweza nchi hii kujiimarisha kiuchumi kwa kupitia ujenzi wa barabara , reli na pia mabandaro katika nchi mbalimbali. |
Tamasha Dragon Boat 2018-06-19 Tamasha Dragon Boat, al maarufu Duanwu Festival ni tamasha ya kitamaduni nchini China. Tamasha hii husheherekewa kila mwezi wa tano tarehe vtano kulingana na kalenda ya Kichina. Chanzo cha tamasha hii muhimu ni kumbukumbu ya kifo chawaziri na mshairi Qu Yuan aliyeishi kati ya miaka ya 340 – 278 BC. |
Ziara ya kivutio kikuu cha Yellow Crane Tower mjini Wuhan mkoani Hubei. 2018-05-28 |
Tuzo zatolewa kwa hadithi za Wakichina kuhusu Afrika 2018-05-25 Waandishi waliotoa taarifa za kufana kuhusu wakati wao barani Afrika walipata kutuzwa hapo jana iliadhimishwa hapo jana katika sherehe ya kupendeza katika chuo kikuu cha lugha na utamaduni cha Beijing. |
Waandish wa habari wa kituo cha mawasiliano ya Habari kati ya China na Afrika watembelea ofisi ya Gazeti la Renminribao 2018-05-22 |
Uhusiano wa China na Afrika chini ya Rais Xi Jinping 2018-05-22 Ni chini ya uongozi wa Rais Xi Jinping ambapo dunia imeweza kushuhudia hamu na mvuto mkubwa wa ushirikiano kati ya China na bara Afrika. Iwe ni ushirikiano katika biashara, elimu, ulinzi au sekta nyingine imekuwa wazi katika miaka miaka michache iliyopita kwamba uhusiano kati ya nchi za Africa na China unaendelea kuwa huku pande zote zikijitafutia maendeleo. |
VIONGOZI WA AFRICA NA CHINA WAJADILI MBINU ZA KUKUMBANA NA UMASKINI 2018-05-11 Afrika ni bara zuri lenye mandhari ya kupendeza, watu wakarimu, tamaduni na mila za kufana na raslmani si haba. Licha ya kuwa na uzuri wa kupindukia, nchi tofauti barani zinakumbwa na umaskini unaowahangaisha raia katika sehemu teule za miji na mikoa. Umaskini umechangiwa pakubwa, ukosefufu wa ajira kwa vijana, ukosefu wa elimu bora, magonjwa na ufisadi. |
Maonesho ya 6 ya kilimo ya Beijing 2018-05-09 |
USHIRIKIANO KATI YA CHINA NA SERIKALI GATUZI ZA AFRIKA 2018-05-09 Naibu wa Rais wa Uchina Bw. Wang Qishan hii leo alisema kwamba China haiwezi kujiendeleza bila ushirikiano na nchi zingine. Alitamka maneno haya katika ukumbi wa Ushirikiano kati ya serikali za ugatuzi za China na za nchi tofauti barani Afrika. |
Kituo cha matibabu ya jadi ya China 2018-05-02 |
Ukuta mkuu wa China 2018-05-02 |
Tanzania yajikita kutumia fursa za soko la Afrika Mashariki 2018-05-02 Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesisitiza kuendelea kushirikiana na taasisi nyingine za Serikali kwa upande wa Tanzania na Kenya ili kuhakikisha bidhaa na mazao ya kilimo yanayozalishwa na wananchi yanapata soko la kuaminika katika ukanda wa Afrika Mashariki hususan Kenya. |
China yatimiza miaka arobaini tangu kufunguka kwake 2018-05-02 Mwakani 1978, aliyekuwa kiongozi wa China Deng Xiaoping, aliiongoza taifa katika mwamko mpya wa kisiasa uliyohusu kufunguka na kufanya mabadiliko yaliyotarajiwa kugeuza hatima ya nchi. Katika enzi zile rais huyo alisisitizia wachina kuwa tumaini la nchi limo katika maendeleo na maendeleo pekee japo kuwa kuendelea sio jambo rahisi. |
BETEL NUT YAKUZA UCHUMI WA WANNING 2018-04-17 Kwa wengi katita maeneo tofauti ya dunia, Betel nut ni kitu ambacho hawajawahi kukiskia wala kuonja. Licha ya hayo, njugu hii imekuwa nguzo ya uchumi wa mji wa Wanning mkoani Hainan. |
UTAMU WA SANYA 2018-04-16 Mji wa Sanya ni moja wapo za vivutio vikuu vya watalii mkoani Hainan. Ni mji wa pwani ambao mbali na kuwa na vivutio vingi vya kimazingira, maeneo mengi ya Sanya yameendelezwa na serikali kuwawezesha wageni kutalii na kustarehe bila ugumu wowote. |
Kushirikisha vyombo vya habari vya nchi mbalimbali kwa kuhimiza mazungumzo ya ustaarabu 2018-04-10 Jamii ya vyombo vya habari barani asia hii leo imehimizwa kutilia mkazo usambazaji wa taarifa zitakazo kuza uhusiano bora kati ya nchi za bara Asia. |
Mipango 10 ya ushirikiano kati ya China na Afrika yawanufaisha waafrika kihalisi 2018-03-12 Kama ilivyo desturi ya wakati wa kisiasa wa mikutano miwili nchini China, mawaziri wa wizara tofauti wamekuwa wakijitokeza kutoa taarifa kuhusu sekta na wizara husika na njia serikali ya China itatumia kuimarisha uchumi na hali za wananchi wa Uchina. |
FAIDA YA RIPOTI YA SERIKALI YA UCHINA KWA BARA AFRIKA 2018-03-06 Hatimaye siku ya hafla ya kufungua mikutano ya kongamano la watu wa Uchina iliwasili na kama ilivyodesturi wabunge wapatao elfu tatu kutoka mikoa mbalimbali walimiminika kwenye ukumbi mkuu wa watu wa Uchina ili kuweza kuhudhuria na pia kusikiliza hotuba ya waziri mkuu Bw. Li. Keqiang. |
FAIDA YA MKANDA MMOJA NJIA MOJA BARANI AFRICA 2018-03-06 Je mradi wa Ukanda Mmoja Njia Moja umepiga hatua zipi tangu kuzinduliwa kwake miaka mitano iliopita? Hii ni mojawapo ya maswali yaliyoyotolewa kwa naibu wa waziri wa maswala ya nje Bw. Zhang Yesui mnamo tarehe nne mwezi machi katika jumba kuu la wachina alipokuwa akitoa taarifa kwa wanahabari. Bila shaka hili ni swali ambalo wengi wanao fahamu kuhusu mradi huu na nafasi ambayo Africa inachukua katika mpango huu wamepata kujiuliza mara nyingi. |
Trix Ingado Luvindi, mtangazaji wa habari katika KTN, Kenya 2018-03-05 |
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |