Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Serikali ya China yatekeleza sera mpya za kuwasaidia watu wenye ukimwi
  •  2004/04/10
        Ili kukabiliana na hali ngumu ya hivi sasa katika mapambano dhidi ya ukimwi nchini China, hivi karibuni, serikali ya China imeanza kutekeleza sera mpya za kuwasaidia wagonjwa wa ukimwi na watu wanaoishi na virusi vya ukimwi. Hivi sasa, idadi ya watu wenye ukimwi imefikia laki 8.4 katika China Bara, na maambukizi ya ugonjwa huo yapo katika kipindi muhimu ambapo ukimwi umeanza kuenea mionogni mwa watu wa kawaida kutoka kwa watu wenye hatari kubwa ya kuambukizwa.
    1  2  3