Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Ukimwi na ustaarabu wa maingiliano ya kijinsia
  •  2004/12/24
    Kwenye kongamano kuhusu "Ukimwi na Ustaarabu wa Maingiliano ya Kijinsia"lililofanyika hivi karibuni mjini Beijing wataalamu mashuhuri walitahadharisha kuwa maambukizi ya Ukimwi yameanza kuingia kwenye jamii ya watu wa kawaida kutoka jamii ya watu walio kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa nchini China, na hatua ya kimsingi dhidi ya maambukizi ya Ukimwi ni kuimarisha kwa juhudi kubwa ustaarabu wa maingiliano ya kijinsia kote nchini China.
  • Wizara ya afya ya China yapendekeza kuanzisha harakati za kueneza ujuzi kuhusu ugonjwa wa ukimwi nchini kote
  •  2004/12/23
    Kutokana na hali ngumu inayoikabili China kuhusu kinga na tiba ya ugonjwa wa ukimwi, siku za hivi karibuni wizara ya afya ya China imependekeza kuanzisha harakati za kueneza ujuzi kuhusu kinga na tiba ya ugonjwa wa ukimwi.
  • Faida ya fedha katika Tiba ya Ukimwi Duniani
  •  2004/12/09
    Fedha nyingi haziwezi kuwaokoa wagonjwa wa Ukimwi, na dawa ya kutiba ugonjwa wa Ukimwi bado haujapatikana, kutokana na wazo hilo kauli nyingi za kukatisha tamaa yamekuwa zikitokea duniani, zikisema kuwa fedha zinazotumika kwa ajili ya tiba ya Ukimwi ni hasara tupu. Lakini hivyo sivyo ukweli ulivyo.
  • Uganda kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika katika kinga na tiba ya ugonjwa wa ukimwi
  •  2004/12/02
    Rais Yoweri Museveni wa Uganda tarehe 29 Novemba alitangaza kuwa, kiwango cha maambukizi ya virusi vya ukimwi nchini Uganda kimepungua na kuwa asilimia 6 ya hivi sasa kutoka asilimia 18 ya mwanzoni mwa miaka ya 90 ya karne iliyopita.
  • Wagonjwa wa Ukimwi Nchini China Warejea katika Jamii
  •  2004/12/01
    Watu wenye virusi vya Ukimwi wanaotibiwa katika hospitali ya You An mjini Beijing tarehe 27 walifanya maonesho ya picha za kuchorwa katika Klabu ya Kimataifa ya Beijing, watu waliohudhuria ufunguzi wa maonesho hayo walikuwa ni ofisa wa Shirika la Kupambana na Ukimwi la Umoja wa Mataifa, UNAIDS, wajumbe wa jumuiya zisizo za serikali na wanamashirika mashuhuri kutoka Shanghai.
  • Hali ya kazi ya kinga na tiba ya ugonjwa wa ukimwi duniani ni ngumu
  •  2004/11/26
        Katika sehemu ya Ulaya ya mashariki na Asia ya kati, hali kutumia dawa za kulevya kwa kujidunga sindano inaongezeka kwa kasi, na kusababisha idadi ya watu wanaoambukizwa kuendelea kuongezeka.
  • Dawa za mitishamba za China katika kupambana na Ugonjwa wa Ukimwi barani Afrika.
  •  2004/10/29
     Wakati kampuni za dawa za nchi za magharibi zinapofikiria kupunguza bei za dawa ya Ukimwi au la barani Afrika, Madaktari wa China wametoa misaada bure katika kupambana na Ukimwi barani Afrika kwa miaka 17.  
  • Uganda yaonesha mfano kwa Afrika katika udhibiti wa ukimwi
  •  2004/07/22
  • Hali ya ugonjwa wa ukimwi duniani mwaka 2004
  •  2004/07/16
  • Kusini wa Sahara kuwa na yatima milioni 50 wa ukimwi
  •  2004/07/14
    Ripoti mpya kabisa iliyotolewa jana huko Bangkok nchini Thailand na mashirika mbalimbali ya kimataifa imebainisha kuwa, ukanda wa kusini mwa Sahara utakuwa na takribani yatima milioni 50 huku zaidi ya robo tatu ya hao wakiwa wamepoteza mzazi mmoja au wote kutokana na ugonjwa wa ukimwi.
  • Mkutano wa 15 wa ugonjwa wa ukimwi duniani wafunguliwa
  •  2004/07/11
  • Dawa za mitishamba za China katika kupambana na Ugonjwa wa Ukimwi barani Afrika.
  •  2004/06/25
     Wakati kampuni za dawa za nchi za magharibi zinapofikiria kupunguza bei za dawa ya Ukimwi au la barani Afrika, Madaktari wa China wametoa misaada bure katika kupambana na Ukimwi barani Afrika kwa miaka 17.    
  • China na Marekani zaanzisha mradi wa ushirikiano wa kinga na tiba ya ukimwi
  •  2004/05/29
    Mradi wa ushirikiano wa kinga na tiba ya ukimwi kati ya China na Marekani umeanzishwa rasmi mkoani Henan, kaskazini mashariki ya China. Mradi huo utausaidia mkoa huo kufanya utafiti, upimaji, uchunguzi na uingiliaji kati kwa ugonjwa wa ukimwi na kuwaandaa watu wenye ujuzi wa kinga na tiba ya ukimwi
  • China yafanya uingiliaji kati miongoni mwa watu wanaokabiliwa na hatari kubwa ya kuambukizwa ukimwi
  •  2004/05/11
    Serikali imechukua hatua za uingiliaji kati katika baadhi ya sehemu dhidi ya watu wanaokabiliwa na hatari kubwa ya kuambukizwa virusi vya ukimwi.
  • Maswali yanayoulizwa na vijana wanapotembelea angaza
  •  2004/05/06
    1  2  3