• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mimi ninaitwa Evance Joseph Mhando (Mr Names) watu wananiita Mr Names kutokana na kuwa na majina mengi na jina hili lilianzia shule ya secondary Boza huko Pangani Tanga (Kaskazini mashariki kwa Tanzaia) mwishoni mwa miaka ya 1990 wakati nikisoma kwenye shule hiyo nikipata elimu yangu ya Sekondari.

    Mimi ni mfanyakazi wa shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ambae kwa sasa nipo hapa nchini China, ambapo nilijiunga na shirika hilo mwaka 2004 wakati huo likiwa Taasisi ya Utangazaji Tanzania (TUT) kama mwandishi na mtangazaji.

    zaidi >>

    • Valentine day 2012-02-14
    Siku ya wapendano inayojulikana kwa kimombo Valentine's day huwa ni February 14 ya kila mwaka, na mwaka huu kama kawaida inasubiriwa kwa hamu na wale walio kwenye mahusiano ya kimapenzi, kuliko yale ya kifamilia.
    • Mwaka mpya wa jadi wa China 2012-01-26
    Waswahili wanasema mambo mengi yana fanana hapa Duniani, kama halipo hapa basi lipo huko au kule, na hilo ndilo linalosemwa kwenye baadhi ya mambo ya jamii tofauti hapa duniani toka tabia moja hadi nyingine.
    • Elimu ya China 2011-11-23
    Waswahili wanasema, usicheze na elimu maana ndio mkombozi wako siku za baadae. Ni kweli, elimu imewakomboa wengi hapa duniani. Kwa kuzingatia hilo, CHINA imeamua kulisaidia bara la AFRICA katika suala la elimu.
    • Mapenzi 2011-11-22
    Kuna msemo katika vitabu vya dini usemao binadamu tumeletwa ilituijaze duniani, kuifanya ipendeze na yenye mvuto kila wakati, na pia kuna msemo wa wahenga usemao duniani wawili wawili ukiwa na maana kuwa mwanaume anpofikia umri Fulani anahitajika kuoa na mwanamke kadhalika aolewe.
    More>>
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako