• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Julai-8 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-08 19:12:25

    UN yawatia hatiani askari wa Burundi kwa ubakaji

    Umoja wa Mataifa unasema, wanajeshi wake wa kulinda amani waliowanyanyansa kimapenzi wasichana wadogo katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati wanakolinda amani ni kutoka Burundi.

    Imebainika kuwa wanajeshi hao ndio waliwanyanyasa wascihana wawili, mmoja mwenye umri wa miaka 12 na mwingine mwenye umri wa miaka 18 mwezi Mei mwaka huu.

    Msemaji wa UN Stephane Dujarric amesema uchunguzi binafasi unafanyika na huenda wanajeshi hao wakajarudishwa nyumbani.

    Upande wa jeshi la Burundi hawajazungumza lolote kuhusu vitendo hivyo viovu wanavyoshutumiwa baadhi ya askari wa Burundi waliojiunga katika kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

    Askari wa kulinda amnai wa Umoja wa Mataifa wamekua wakinyooshewa kidole kwa visa kama hivyo katika nchi mbalimbali wanakolinda amnai. Hivi karibuni Baadhi ya askari wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo walishtumiwa kujihusisha na vitendo hivyo viovu, na baadaye kuchukuliwa uamuzi wa kuwarejesha nyumbani.

    Uingereza kuwa na Waziri Mkuu mwanamke


    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako