• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (4 Julai-8 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-08 19:12:25

    FBI kutomfungulia mashitaka Bibi Hillary Clinton

    Shirika la upelelezi la Marekani FBI halitamfungulia mashtaka bibi Hillary Clinton kwa tuhuma ya kuvujisha siri za taifa. Mkurugenzi wa shirika hilo Bw James Comey akifafanua uamuzi huo amesema Bibi Clinton alipokuwa waziri wa mambo ya nje alitumia email binafsi kushughulikia mambo ya kiofisi, kitendo ambacho kinaonesha kuwa yeye na msaidizi wake hawakuwa makini katika kushughulikia siri za taifa, lakini hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa walikiuka sheria kwa makusudi.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako