• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (23 Julai-29 Julai)

  (GMT+08:00) 2016-07-29 18:56:28
  Ujerumani kuchukua hatua kuimarisha usalama

  Wiki hii Chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel amelaani vikali mashambulizi yaliyotokea hivi karibuni nchini, na kutangaza mpango unaolenga kuimarisha usalama nchini Ujerumani.

  Hatua zinazotajwa kwenye mpango huo ni pamoja na kutoa urahisi wa kuruhusu kuwarudisha wakimbizi nyumbani, kuweka mfumo wa kutambua wakimbizi wenye siasa kali na kufanya luteka za kupambana na ugaidi.

  Hivi karibuni Ujerumani imekuwa ikikumbwa na mashambulizi, na raia wengi wamekuwa wanakosoa sera ya serikali kuhusu wakimbizi wakisema wasiwasi wao hausikilizwi vya kutosha.

  1 2 3 4 5 6 7 8 9
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako