• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (23 Julai-29 Julai)

    (GMT+08:00) 2016-07-29 18:56:28

    UNHCR lawarudisha nyumbani wakimbizi 18,000 wa Somalia kutoka Kenya

    Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limewarudisha nyumbani wakimbizi zaidi ya elfu 18 wa Somalia kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab, iliyoko kaskazini mashariki mwa Kenya kuanzia mwaka 2014.

    Shirika hilo limetoa ripoti likisema theluthi mbili ya wakimbizi hao walirudishwa mwaka huu.

    Wiki hii UNHCR pia imesema zaidi ya watu 42, 000 waliopo kwenye kambi ya dadaab wanajifanya tu lakini hawana tatizo lolote, ila wamekuja kwenye kambi hiyo ili kupata misaada ya mashirika na chakula bila malipo.

    Msemaji wa UNHCR Duke Mwancha amesema wamegundua njama hiyo ya watu kujiandikisha kama wakimbizi na baadaye kubainika kuwa hawajakubwa na mamatizo yoyote na wanataka tu kukaa kambili ili kujinufaisha.

    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako