• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Safari ya treni ya mizigo kati ya Zhengzhou na Ulaya
    Si jambo geni kwa China na Ulaya kuzindua treni ya mizigo ya moja kwa moja. Safari ya treni ya mizigo kati ya Zhengzhou na Ulaya si ya kwanza katika historia ya China, lakini baada ya kuzinduliwa kwake, imeonesha mwelekeo mzuri wa maendeleo.
    • Mji unaostawi kutokana na ujenzi wa reli
    Wahenga husema "treni ikinguruma, dhahabu inakuja". Msemo huo unazungumzia umuhimu wa sekta ya uchukuzi katika kuhimiza maendeleo ya uchumi.
    • Mji unaojitokeza kwa viwanda na biashara
    Zhengzhou, mji mkuu wa mkoa wa Henan, ulioko katikati ya China, kusini mwa mto Manjano na mashariki mwa mlima Songshan, inapakana na miji mikongwe ya Kaifeng na Luoyang.
    • Usafiri wa ndege mjini Zhengzhou
    Usafiri wa ndege unafanya miji iwe karibu zaidi na sehemu nyingine duniani, kwa hiyo miji mingi duniani ina ndoto ya kuendeleza usafiri wa ndege.
    • Zhengzhou, mji uliojaa upendo

    William Shakespeare aliwahi kusema, hisani ni alama halisi ya uungwana. Mjini Zhengzhou, moyo wa hisani unaenea kila mahali.

    • Zhengzhou---Mji uwenye vivutio vingi vya kiutamaduni
    Kwenye sehemu ya chini ya mto mama wa taifa la China Mto Manjano, uko mji mmoja mkongwe na pia wa kisasa Zhengzhou, mji mkuu wa mkoa wa Henan.
    • Ukurasa wa Kwanza
    Mji wa Zhengzhou ulioko katikati ya China, ni mji mkuu wa mkoa wa Henan. Mji huo ulioko kando ya mto Manjano ambao ni mto mama wa China, uko mashariki mwa mlima Songshan, maarufu na wenye hadhi muhimu kiutamaduni kwa China.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako