• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Mji wa Dongguan wakaribisha nchi inakopitia njia ya hariri ya baharini kufanya biashara 2015-04-29
  Mamlaka ya manispaa ya mji wa Dongguan nchini China imekaribisha nchi inakopitia njia ya hariri ya baharini kujinufaisha na nafasi za kibiashara mjiji humo. Mji huu wa Dongguan uko kusini mwa China Katika mkoa wa Guangdong na una wakaazi millioni kumi hivi. Pato lake la jumla ni zaidi ya Dola bilioni 95.
  • Njia ya hariri ya baharini yainua ushirikiano kati ya China na nchi zilizoko kando ya njia hiyo 2014-11-11

  Maonesho ya kimataifa ya njia ya hariri ya baharini ya karne 21 yaliyomalizika tarehe 2 huko Dongguan mkoani Guangzhou hapa China, yalitoa ishara wazi kuwa China itatafuta fursa mpya ya ushirikiano na nchi zilizo kando ya njia ya hariri ya baharini ya karne 21 kupitia ujenzi wa njia hiyo.

  • Mikoa iliyoko kando ya njia ya hariri ya baharini yatarajia kupata mafanikio mapya 2014-07-09
  Mji wa Quanzhou mkoani Fujian China ukiwa ni mwanzo wa njia ya hariri ya baharini, si kama tu una barabara za zamani zilizojengwa kwa mawe na mnara mrefu wa Liusheng, bali pia una bandari ya kisasa inayostawi sana.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  Maoni yako