Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Vituo vya upimaji wa virusi wa UKIMI nchini Kenya
  •  2005/12/02
    Nchini Kenya kuna vituo vya upimaji virusi vya UKIMWI ambavyo pia vinaitwa "vituo vya upimaji na ushauri nasaha kuhusu UKIMWI" yaani VCT. Katika mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi, karibu kila mahali unaweza kuona mabango yenye maneno hayo.
  • China yaimarisha kazi ya kuingilia vitendo vyenye hatari kubwa ya kuambukiza ugonjwa wa ukimwi
  •  2005/07/14
    Kuingilia kati ya vitendo vyenye hatari kubwa ya kuambukiza ugonjwa wa ukimwi ni hatua kubwa moja ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa ukimwi, katika miaka ya hivi karibuni China imeanzisha majaribio ya kutekeleza hatua hiyo.
  • Ujerumani yasisitiza mwamko wa kuchukua jukumu katika udhibiti wa Ukimwi
  •  2005/06/10
    Hivi sasa nchini Ujerumani kuna wagonjwa na watu wenye virusi vya Ukimwi karibu elfu 44, ni nchi yenye wagonjwa wachache wa Ukimwi duniani.
  • Kufuatilia "eneo la kijani"
  •  2005/06/09
    Zamani, wagonjwa wa Ukimwi walikuwa wanaogopa kwenda nje ya hospitali kutokana na wasiwasi wa kutambuliwa na watu wanaowafahamu. Pia ni rahisi kwa wagonjwa hao kuambukizwa na magonjwa mengine, kwa kuwa uwezo wao wa kujikinga na magonjwa umepunguzwa.
  • Historia ya UKIMWI (3)
  •  2005/06/06
    Januari mwaka 1987, waziri wa huduma za jamii wa Marekani alipozuru San Francisco aliwahi kupeana mkono hadharani na mgonjwa wa UKIMWI.
  • Madaktari wa China wanaofanya kazi nchini Msumbiji
  •  2005/05/27
    Katika hospitali kubwa zaidi ya taifa ya Msumbiji yaani Hospitali ya Maputo, daktari wa China anayefanya kazi katika idara ya wanawake wajawazito bibi Leifang aliyemaliza kumfanyia upasuaji mwanamke mmoja mwenyeji, alimwonesha mwandishi wa habari miwani yake mikubwa na nzito, akimwambia kuwa vitu vilivyobaki kwenye miwani yake ni usaha wa mwanamke aliyefanyiwa upasuaji, ambaye ni mgonjwa wa Ukimwi
  • Historia ya Ukimwi (2)
  •  2005/05/23
    Novemba mwaka 1983, kwa mara ya kwanza WHO ilifanya mkutano kuhusu UKIMWI mjini Geneva, na kutathmini hali ya ugonjwa huo duniani.
  • Historia ya Ukimwi (1)
  •  2005/05/20
    Maandishi kuhusu Ukimwi yalianza mwaka 1981, na kabla ya hapo binadamu walikuwa hawaufahamu hata kidogo ugonjwa huo.
  • Mahakama kuu ya Libya yasikiliza kesi ya wageni wa nchi za nje kusambaza kwa makusudi virusi vya ukimwi
  •  2005/03/31
    Mahakama kuu ya Libya tarehe 29 mwezi huu ilisikiliza rasmi rufani iliyokatwa na washitakiwa ambao ni wauguzi watano wa Bulgaria na daktari mmoja wa Palestina ambao wanatuhumiwa kwa kesi ya kusambaza kwa makusudi virusi vya ukimwi, na kuamua kutoa hukumu ya mwisho tarehe 31 Mei.
  • Harakati za sayansi na teknolojia dhidi ya Ukimwi zaanzishwa mikoani Henan na Yunnan nchini China
  •  2005/03/28
    Harakati za sayansi na teknolojia dhidi ya Ukimwi zimeanzishwa mikoani Henan na Yunnan nchini China. Harakati hizo zinaongozwa na Wizara ya Sayansi na Teknolojia kwa kushirkisha Wizara ya Afya na Idara ya Taifa ya Udhibiti wa Madawa.
  • Pro.Shao Yiming afanya juhudi kubwa katika shughuli za kinga na tiba ya ugonjwa wa ukimwi nchini China
  •  2005/03/16
    Mkutano wa tatu wa baraza la kumi la mashauriano ya kisiasa la China umemalizika siku za karibuni hapa Beijing, ambapo wajumbe zaidi ya 2000 wa baraza hilo wanaotoka sehemu mbalimbali nchini China walihudhuria mkutano huo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya maendeleo ya China na ujenzi wa jamii yeneye masikilizano.
  • Wagonjwa wa Ukimwi watibiwe nyumbani
  •  2005/03/11
         Idara ya Afya ya mkoa wa Guizhou nchini China hivi karibuni imetoa "Maoni kuhusu matibabu ya wagonjwa wa Ukimwi", yakisema kuwa, watu wenye virusi vya Ukimwi kimsingi watatibiwa nyumbani kwao.
  • Tepe nyekundu, alama ya kimataifa ya kinga na tiba ya Ukimwi
  •  2005/02/08
         Tepe nyekundu ni alama ya kimataifa ya kina na tiba ya Ukimwi, alama hiyo ilianza kutumika mwishoni mwa miaka ya 80 ya karne iliyopita.
  • Mtoto wa Mandela afariki dunia kutokana na Ukimwi
  •  2005/01/21
    Tarehe 6 Januari mwaka huu, rais wa zamani wa Afrika ya kusini Bwana Nelson Mandela mwenye umri wa miaka 86 mwaka huu alitangaza kwa vyombo vya habari kuwa, mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 54 Bwana Makgatho Mandela siku hiyo alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ukimwi.
  • Wizara ya Elimu ya China Yaingiza Elimu ya Kinga na Tiba ya Ukimwi katika Mitaala
  •  2005/01/07
    Wizara ya Elimu ya China imezitaka shule ziingize elimu ya kinga na tiba ya Ukimwi katika vipindi vya masomo kuanzia mwaka 2004. Imezitaka shule za sekondari za chini ziwe na vipindi hivyo viwe 6 katika kila muhula na katika sekondari za juu kuwe na 4 katika kila muhula na katika shule za ufundi vipindi hivyo viwe 4 hadi 6, na vyuo vikuu pia lazima viwe na vipindi hivyo au mihadhara maalumu na kwa wastani kisipungue kipindi kimoja.
    1  2  3