Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya CRI
China Radio International
China
Dunia
 
  • Mwimbaji wa Kabila la Wamongolia, Hazhabu
  •  2005/01/17
    Hapa duniani baadhi ya waimbaji wanaimba kwa ajili ya kuishi, na baadhi wanaishi kwa ajili ya kuimba. Mwimbaji Hazhabu mwenye umri wa miaka 83 ni mwimbaji wa aina ya pili.
  • Bingwa wa Utafsiri Gong Jieshi
  •  2004/12/27
    Gong Jieshi mwenye umri wa miaka 41 ni bingwa wa kutafsiri, anajulikana katika nyanja ya ufasiri wa lugha za kigeni nchini China, na amewahi kushiriki kwenye kazi ya kutafsiri nyaraka nyingi muhimu kuhusu China kurudisha tena mamlaka yake kwa Hong Kong na Macau, na waraka kuhusu Beijing kugombea kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki mwaka 2008.
  • Bingwa wa Utafsiri Gong Jieshi
  •  2004/12/27
    Gong Jieshi mwenye umri wa miaka 41 ni bingwa wa kutafsiri, anajulikana katika nyanja ya ufasiri wa lugha za kigeni nchini China, na amewahi kushiriki kwenye kazi ya kutafsiri nyaraka nyingi muhimu kuhusu China kurudisha tena mamlaka yake kwa Hong Kong na Macau, na waraka kuhusu Beijing kugombea kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki mwaka 2008.
  • Mcheza Filamu Mwanamke Yu Feihong
  •  2004/10/08
    Yu Feihong ni mcheza filamu nyota nchini China, ingawa yeye bado ni kijana na jina lake linavuma sana miongoni mwa watazamaji, lakini anaishi kimya na kawaida kabisa.
  • Mwimbaji Mashuhuri wa Kike wa China Guan Mucun
  •  2004/09/06
    Siku chache zilizopita, baadhi ya wasanii wa China walipewa "sifa za usanii mkubwa na uadilifu wa kuigwa", mwimbaji mashuhuri Guan Mucun alikuwa miongoni mwao. Siku moja, mwandishi wetu alipata nafasi kuzungumza naye.
  • Msanii wa kuchekesha Yan Shunkai
  •  2004/07/26
    Msanii wa michezo ya kuchekesha Yan Shunkai alizaliwa mjini Shanghai mwaka 1937. Toka utotoni mwake alikuwa na hamu na michezo ya sanaa. Alipokuwa katika shule ya sekondari mara nyingi alikuwa akicheza michezo jukwaani na kutamani kuwa msanii nyota.  
  • msanii mmoja wa China
  •  2004/07/08
  • Msomi Wang Shixiang
  •  2004/06/21
  • Msanii  Mkulima Dou Xizhen
  •  2004/06/03
     Huko Tianjin, mji wa kaskazini mwa China, kuna mkulima aitwaye Dou Xizhen, ambaye pia ni msanii. Bw. Dou hakupata mafunzo yoyote ya uchoraji wa kitaaluma, lakini amejifundisha mwenyewe. Picha zake zimechanganya umaalumu wa uchoraji wa kichina na kimagharibi, hivyo zinapendwa na Wachina na wageni.
  • Mwandishi wa vitabu Pan Jun
  •  2004/05/28
  • Bw. Xi Shu na Duka Lake la Vitabu
  •  2004/04/13
    "Duka la vitabu la Xi Shu" linajulikana sana nchini China. Duka hili ni lake binafsi na matawi yake yamefikia 620 nchini China. Bw. Xi Shu licha ya kuwa mwanzilishi wa duka lake la vitabu pia ni mjumbe wa Baraza Kuu la Mashauriano ya Kisiasa la China.       
  • Wasanii wa Kike Nchini China
  •  2004/03/29
    Siku chache zilizopita wasanii kadhaa wa kike walifanya maonesho ya sanaa mjini Beijing.Sanaa hizo zilionesha jinsi wasanii hao wanavyoiona dunia ya leo na maisha ya binadamu kutokana na mtizamo wa wanawake.
  • Mwanahistoria Mkubwa wa China, Dai Yi
  •  2004/03/07
    Mwezi Januari mwaka jana mradi kabambe wa kuhariri historia ya Enzi ya Qing ulianza rasmi. Huu ni mradi mkubwa wa serikali ya China katika utamaduni, mradi huo utagharimu RMB yuan milioni mia kadhaa...
  • Mwandishi wa Vitabu Pan Jun
  •  2004/03/02
    Siku chache zilizopita, kitabu kiitwacho "Ripoti kuhusu Hukumu ya Kifo" kilitolewa na kusababisha mazungumzo mengi katika uwanja wa waandishi. Katika riwaya hiyo mwandishi ametoa mtazamo mpya kuhusu hukumu ya kifo ili kuwafanya wanasheria kutafakari upya kuhusu hukumu ya aina hiyo nchini China.
    1 2 3 4