• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii ( Agusti 20-Agusti 26)

    (GMT+08:00) 2016-08-26 17:56:16

    Kiongozi mpya wa chama tawala nchini Burundi achaguliwa

    Evariste Ndayishimiye amechaguliwa wiki hii kuwa katibu mkuu mpya wa chama tawala cha Burundi CNDD-FDD wikiendi iliyopita.

    Ndayishimiye alikuwa mshauri binafsi wa masuala ya kijamii katika ikulu ya rais Pierre Nkurunziza.

    Aidha, Joseph Ntakarutimana ameteuliwa kuwa naibu wake, na Gelase Daniel Ndabirabe ameteuliwa kuwa katibu mtendaji anayesimamia shughuli za chama.


    1 2 3 4 5 6 7 8 9
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako