• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Tanzania :Mfumko wa bei waongezeka
  • Uganda:Malipo ya baada ya kustaafu kutolewa kwa siku moja
  • Kenya:COTU yataka wafanyikazi kuongezwa mshahara kwa asilimia 22
  • Rwanda:Familia 560 zaunganishiwa umeme

  Takriban familia 560 katika mkoa wa mashariki mwa Rwanda wamepata huduma ya umeme. Hii ni baada ya ushirikiano wa shirika la maendeleo ya kawi nchini humo na Kampuni ya Ignite Power.

  • Rwanda:Mfumko wa uchumi wapungua
  • RC ataka madini kunufaisha wanaSingida
  • Rwanda: SERIKALI YA PEANA PIKIPIKI 40 KUSAIDIA USAFIRI
  • Kahawa nchini Kenya yaandikisha uuzaji wa bei ya chini
  • KENYA; Wakulima katika kaunti ya Murang'a wamefaidika na mradi unyunyizaji maji wa Sh bilioni 3.5

  Wakulima katika maeneo yenye ukame katika kaunti ya Murang'a wamefaidika na mradi unyunyizaji maji wa Sh bilioni 3.5 kwa kushirikiana na Wabelgiji.

  • UGANDA: WAFANYIBIASHARA WA MJINI WANAITAKA SERIKALI KUANGALIA SHIDA ZAO
  • Wavuvi Kenya walalamikia marufuku ya kutotoka nje usiku
  Wavuvi katika eneo la Lamu wamelazimika kuacha biashara hiyo kufuatia marufuku inayoendelezwa na serikali ya wavuvi kutovua samaki usiku baharini. Zaidi ya wakaazi 6000 wa Lamu mashariki hutegemea uvuvi kujikimu kimaisha.
  • Uganda na Tanzania zasaini mikataba ya ushirikiano wa maendeleo
  • Wakulima wa mahindi walalamikia hatua ya serikali ya Kenya kuagiza mahindi kutoka nje
  • Watanzania washauriwa kutotumia mafuta hafifu
  • Tecno na Tigo zazindua simu mpya aina ya Tecno Camon Cx
  • Kampala: Rais wa Hungary János Áder ametangaza kwamba nchi yake itatoa msaada wa masomo kwa wanafunzi 50 wa Uganda kusomea nchini humo.
  • Tanzania: DTB Tanzania yapata faida ya Sh31 bilioni
  • Uganda: Serikali ya Uganda yawarai wakulima wa kahawa kuongeza uzalishaji
  • Kenya: Kampuni ya Mahindra yazindua gari lake aina ya Big Bolero Pickup, nchini Kenya.
  • Kenya: Viwavi jeshi watishia wakulima kaunti ya Taita Taveta nchini Kenya
  prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  Maoni yako