• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Sudan Benki Kuu ya Sudan imetangaza sera mpya za kununua na kuuza nje dhahabu.
  • Kenya: Kupungua kwa ugavi wa miwa umesukuma juu bei ya viwanda kwa asilimia 13.5.
  • Kenya: Mishahara ya watumishi wa umma inatarajiwa kupanda kwa asilimia 7.3 kuanzia mwezi Julai
  • Wakenya kupunguziwa mzigo kwenye bajeti ya mwaka wa 2017-2018
  • PAC yataka mashirika ya umma kuchangia bajeti ya Tanzania
  • Kaunti ya Embu Kenya kutumia shilingi bilioni 2.3 kufadhili kilimo biashara katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.
  • Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini Dar es salaam
  Rais John Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam na kukamata makontena 20 yaliyokuwa yamebeba mchanga wenye madini kutoka migodi iiyopo kanda ya Ziwa pamoja na makontena 10 yaliyokuwa ya magari ya kifahari huku stakabadhi zikionesha kuwa yalikuwa yamebeba mitumba ya nguo na viatu.
  • Tanzania: Mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA) yawataka kulipa kodi ya majengo
  • Tanzania: Bodi ya Korosho nchini Tanzania kugawa miche milioni 10 kwa wakulima
  • Kenya: Benki za Kenya zalalamika kuhusu sheria ya udhibiti wa riba
  • Rwanda: Mafuriko na ukame zasababisha kupungua kwa kasi ya ukuaji wa uchumi nchini Rwanda
  • Benki ya dunia kutoa mikopo ya dola bilioni 57 kwa Afrika
  • Kenya: Treni kwenye reli ya kisasa nchini Kenya kutumia umeme baada ya miaka minne
  Treni kwenye reli ya kisasa nchini Kenya inayojengwa na kampuni ya China, itaanza kutumia umeme baada ya miaka minne.
  • Kenya: Benki ya Standard Chartered yapata ongezeko kubwa zaidi la faida
  • Tanzania:Benki ya dunia imetoa dola bilioni 2.4 kufadhili miradi ya miundombinu nchini Tanzania.
  • Uganda: Shs20b kutoka kwa mauzo ya nje ya samaki haitumiki
  • Uganda: Biashara kati ya China na Uganda kuongezeka maradufu ndani ya miaka 5
  • Viongozi wa Afrika wapitisha azimio la kuwa na juhudi za kujitegemea
  • Kenya: KRA haijaridhishwa kodi iliyokusanywa kutoka kwa teski za Uber
  Mamlaka ya mapato Kenya (KRA) ameomba wabunge kuja na sheria maalum kwa ajili ya udhibiti wa programu ya teksi za uber.
  • Kenya:mauzo ya magari imeshuka kwa asilimia 35 katika miezi miwili ya kwanza mwaka huu
  prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  Maoni yako