• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Kenya: Watalii wafurika Masai Mara

  Maelfu ya watalii wameanza kufurika katika hifadhi ya kitaifa ya Masai Mara nchini Kenya kushuhudia nyumbu wakivuka mto mara wakitokea kwenye hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania.

  • Kenya: Serikali ya Kenya kulipa wakulima waliowasilisha mahindi NCPB
  • Ethiopia: Uunganishaji wa kawi kati ya Kenya na Ethiopia wakaribia kukamilika
  • Eritrean Airlines yaanza safari zake za kila siku kuenda Addis

  Eritrean Airlines imeanza safari zake ndege za kila siku kuenda mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa, waziri mawasiliano wa Eritrea amesema hatua hii, inaashiria hatua nyingine katika kuboresha uhusiano kati ya Pembe ya nchi za Afrika baada ya kizazi cha uadui.

  • Uganda: Facebook ya onya kuwa itasitiza uwekezaji wa miundombinu
  • East Africa: Tanzania imeongeza asilimia 25 ya kodi ya uagizaji sukari ya Uganda
  • Ethiopia: serikali ya kusanya dola bilioni 2.58 kutoka soko la nje
  • Kenya: Gharama ya gesi ya kupikia imeongezeka kutokana na gharama ya juu ya mafuta ya petroli
  • Mahindi ya bei ya chini kutoka Uganda kunyima wakulima mapato mazuri
  • Ndege ya bei nafuu Fly Tristar kupiga jeki sekta ya utalii ya pwani
  • Tanzania: Mapato ya Tanzanite yashuka
  • Tanzania: Amana na mali za benki zaongezeka Tanzania
  • Mauzo baina ya nchi za COMESA yapungua
  • Rwanda: Rwanda yajadili utayari wa kujiunga na soko huru la Afrika
  • Rwanda: Wakulima wa mboga na matunda Rwanda wahimizwa kutumia teknolojia
  • Kenya: EAB kutoa milioni 69 kwa wenye hisa
  • Kenya: Magendo yasababishia Kenya hasara ya dola milioni 20
  • Wateja wa umeme sasa watalipa kidogo kwa umeme
  • Uganda kwa mara ya kwanza inafirisha bidhaa zaidi kwa Kenya kuliko ilivyoagiza miezi mitano
  • nchi 38 za Kiafrika wanatafuta kuunganisha sera za kodi na kuboresha ukusanyaji wa mapato ya ndani.
  prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako