• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • • Kenya: Kenya yapokea mkopo wa bilioni 15.5 kufadhili usambazaji wa umeme maeneo kame
  • Uganda: Watengeneaji wa meko Uganda watakiwa kuwa na leseni
  • Rwanda: MTN Rwanda yafuta ada ya asilimia 10 kwa huduma ya Me2U

  Kampuni ya kutoa huduma za mawasiliano ya MTN Rwanda imefuta ada ya asilimia 10 kwa huduma ya Me2U kufuatia malalamiko kutoka kwa wateja.

  • IMF yakosoa michakato ya kutayarisha bajeti ya Kenya, Uganda na Tanzania,
  • Rwanda: Rwanda kunufaika na ufadhili wa dola milioni 210 kutoka AGRA.
  • Rwanda:Wajasiriamali wanawake wapewa mafunzo ya kuboresha huduma katika sekta ya utalii
  • Uganda-Bei ya kahawa yaongezeka
  • Rais Magufuli aagiza kujengwa ua katika machimbo ya Tanzanite,Simanjiro

  Rais John Magufuli ameagiza kujengwa uzio katika eneo linalozunguka machimbo ya Tanzanite liliko Simanjiro ikiwa ni hatua yake ya kutaka kukabiliana na utoroshwaji wa rasilimali hiyo.

  • Kenya yapokea mkopo wa Ksh15.5bn kufadhili mradi wa kuunganisha umeme
  • Tanzania: Tanzania kuanza kuuza nyama nje mwakani
  • Uganda: URA kuandaa hafla ya kupongeza watoa kodi
  • Uganda: Uganda yawataka raia wale walio nje kuwekeza nyumbani
  • Kenya: Ujenzi wa eneo la kupakua makasha Mombasa kuanza Januari
  • Rwanda: Vijana Rwanda watakiwa kujihusisha na biashara
  • Kenya: Naivas na Carrefour yawania kuchukua nafasi Thika Road Mall
  • Tanzania: Mradi wa bomba la mafuta kuajiri madereva 1,500

  Kampuni moja ya usafi rishaji ya Tanzania imesema itaajiri zaidi ya madereva 1,500 kwa ajili ya kazi za mradi wa kujenga bomba kubwa la mafuta duniani kati ya Hoima, Uganda na kijiji cha Chongoleani, nje kidogo ya Jiji la Tanga, Tanzania.

  • Tanzania: Ecobank Tanzania yaanzisha huduma ya malipo mtandaoni
  • Tanzania: Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu umepunguza wafanyakazi 2,000
  • Kenya: Mombasa Beach kupewa shilingi milioni 150 za kuikarabati
  • Kenya: Nakumatt yasaini makubaliano ya kuungana na Tuskeys
  prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
  SearchYYMMDD  
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako